Tanzania new war for national cake

Kwa hiyo haya mambo yapo , huwa tunaangalia kwenye muvi za kikorea mfano king maker, familia ya Kim ilikuwa inacontrol kila kitu mpaka mfalme Hana nguvu juu ya hii familia, ipo Ile nyingine ya pills
 
Kijana aliyekuwa na akili baada ya kuonja utamu wa madaraka akaanza kuharibu Biashara za watoto wa machifu
Pia kuuwa wapinzani wake hadi walimpa madaraka wakaanza kumshangaa
Huyo KIJANA ni nani kwa JINA?
 
Kuna mzee alitabiri jambo ila naogopa kuliandika hapa.
 
Samia kawashika pabaya kenge nyinyi, leteni fyokofyoko tuwavunje uti wa mgongo!
 
Bahati mbaya Ni kumfundisha Simba kula nyama ya mtu,mh nyama ya mtu Ina chunvi tofauti na nyama zingine.
Bahati mbaya alionjesha na wenzie hapo Kuna kazi!
Wa leo Wanasema na kumsimanga Moira hautarudi Tena Kona ile maana Kila mmoja wao Ni mbinafsi hawajui kucheza na wenzao wanataka kufunga peke yao na huku nikichungulia wameshaonja Radha ya kushangiliwa wanapofunga Gori,watakubari kweli kuwa watazamaji?
Jibu Ni hapana wameshaonja nyama ya mtu bhita itakuwa bhita mura sioni wa kuinamisha uso maana wote wanatoka uzao wa ma warriors Sina ujuzi Sana Kama Kuna warriors kutoka pwani yetu.
Kibaya Ni Ni pale walipokosa unafiki wa kutoa pole pale warrior kiongozi alianguka walicheka Sana kwa uzembe wake na kuwapitisha topeni bila Huduma na wakaapa hadharani kamwe hawatakuja ongozwa na warriors Tena hili limewaamsha warriors na kutambua kuwa safari yao sio moja ingawa wanaishi kwenye nyumba moja,
Nakubariana na wewe bhita yupo subirini 2025 mtaona.
 
Mkuu TumainEli !!nadhani the State ndio taasisi pekee ambayo inaweza kuzuia madhara ya vita hiyo !!kama itakuwa haina upande wowote!!!Namna pekee the State wanachotakiwa kufanya ni mbinu ya TUKOSE WOTE yaani Hakuna mshindi Kati ya hayo makundi mawili !! Ndio Chance pekee iliobaki ya kuwa na Tanzania yenye uelekeo mpya kuliko huu wa makundi ya kifisadi yalitopo!!Na hapo uwe Mwisho wa CCM na Chadema pia ACT na kije chama changu cha umoja party ambacho bado hakijasajiliwa Hadi Sasa!!ndio suluhisho pekee la kuiponya nchi na uharibifu wa miaka mingi!!!!!
NASUBIRI sehemu ya pili ya bandiko lako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…