Muwekezaji gani anaweza kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo inaupungufu wa Umeme kila uchwao?Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni
Huo ni mtazamo wako, mbona hao wakenya hatuwaoni au wewe ndiye msemaji wao?Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
Ndio maana Magu alitaka kummaliza ni msaliti anachumia tumbo lake, yuko tayari hii nchi iangamie kwa maslahi yake. Ashindwe na alegee huyo mbwaLisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
Ndio maana Magu alitaka kummaliza ni msaliti anachumia tumbo lake, yuko tayari hii nchi iangamie kwa maslahi yake. Ashindwe na alegee huyo mbwa
Hivi ukiwa unaishi kwenye nyumba ya matope halafu akija jirani yako na kukusifia kuwa nyumba yako ni ya kisasa ukikubali si utakuwa mwenda wazimu?Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
Ndio maana leo wameangukia pua kule mahakamanišLIssu kajichokea anakula madafu huko kijichi!
Huo upungufu wa umeme wenyewe ni fursa ya kuleta wawekezaji.Muwekezaji gani anaweza kuja kuwekeza kwenye nchi ambayo inaupungufu wa Umeme kila uchwao?
ACHA KUJIPA MATUMAINI HEWA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu nashukuru umeliona hilo.Mbona unapenda Sana matusi?. Mkosoe mtu kwa staha. Kwanini utukane mtu ambaye Wala hajakutukana? Sio ustaarabu.
Kwanini hawaji hao wawekezaji Mkuu.?Huo upungufu wa umeme wenyewe ni fursa ya kuleta wawekezaji.
Alitamani kummaliza akaisha yeye, hujaona na kuelewa hapo! Kama bado basi jipige kifua na kusema hazikutoshiNdio maana Magu alitaka kummaliza ni msaliti anachumia tumbo lake, yuko tayari hii nchi iangamie kwa maslahi yake. Ashindwe na alegee huyo mbwa
Kama huyo ndiye yuko timamu basi chadema ni genge la wehu tupu, tusishangae siku moja tukiwaona mtaani wanaokota makopo.Pale chadema huyu jamaa ndio yuko timamu ...
Wengi wehu pale.
hayuko vizuri, anachuki iliyopitiliza na nchi yake. nchi ni kubwa kuliko mtu mmojammoja akiwemo yeye. Anapoingelea vibaya nchi maana wawekezaji na wafanyabiashara wasije Tz, maana uchumi udolole na watanzania wasipate dawa na madawati, barabara zisijengwe. Lissu anafahamu kuwa Kenya ni miongoni mwa nchi kumi zilizowekeza zaidi tanzania lakini yeye anabisha. Lisu anaambiwa bei ya mafuta Tanzania iko chini na wakenya wanaenda Namanga kuweka mafuta, lisu anasema ni uongo, vitu kama hivyo vinaweza kusababisha hasira kubwa dhidi yake kutoka kwa watanzania wanaoipenda nchi yao. Eti kisa yeye kapigwa bunduki. Yeye ni mwanaharakati sio mwanasiasa.Lisu yuko vizuri kichwani