Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

Tanzania ni bora kuliko Kenya, Lissu apingwa na Wakenya kwa ushahidi, anatia aibu.

Nchi imezunguukwa na maji kila kona lakini watu wake hawana maji ya uhakika halafu unataka aisifie?
mbona ruzuku ya chama haijawahi kuja hata rambo moja la kunyweshea ng'ombe japo kwenye kitongoji kimoja kuonyesha mfano? Mbona wao wananunua magari makubwa wakati wanailalamikia serikali kubana matumizi? Ona sasa wameshindwa kesi na akina Halima Mdee kutokana na ubinafsi na kukurupuka. Ukijamba kwa hasira utajinyea tu chupini hata ufanyeje
 
Hivi ukiwa unaishi kwenye nyumba ya matope halafu akija jirani yako na kukusifia kuwa nyumba yako ni ya kisasa ukikubali si utakuwa mwenda wazimu?
Mfano huo haufanani na huu hapa. Yule mwandishi wa habari ni mkenye na anaishi kenya, anafahamu na anawafahamu wafanyabiashara waliohamia Tanzania kutoka Kenya, lisu anamwambia sio kweli. Mwandishi anamwambia wakenya wanaenda Tz kuweka mafuta kwenye gari na bodaboda zao kwakuwa bei ni rahisi, lisu anamwambia hapana sio kweli huku kwenu hali ni nzuri kuliko kule; sasa huo sio ukichaa?
 
Hivi ukiwa unaishi kwenye nyumba ya matope halafu akija jirani yako na kukusifia kuwa nyumba yako ni ya kisasa ukikubali si utakuwa mwenda wazimu?
Wewe unayo nyumba ya matope kwakua una kiwanja cha kujenja hiyo nyumba mbaya wakati mwenzio analala kwenye mitaro, baraza za nyumba za watu au kwenye magari mabovu yaliyoegeshwa kwanini asione wewe una afadhali? huo ndio ukichaa wenyewe tunaousema.
 
Kama huyo ndiye yuko timamu basi chadema ni genge la wehu tupu, tusishangae siku moja tukiwaona mtaani wanaokota makopo.
Kama chadema itamtanguliza mbele Lisu kwenye harakati zake chama kitakufa kifo cha mende. Lisu anahitaji psychologists ahangaikie akili yake ikae vizuri. Lisu anapinga kila kitu cha serikali hata chenye maslahi mapana kwa wananchi. Hebu fikiria Lissu hataki wamasai wahamishwe ngorongoro ili waache kuishi na wanyama pamoja huku akifahamu kuwa wamasai wanaongezeka idadi na wanyama wanaongezeka idadi lakini eneo haliongezeki ukubwa wake, anasahau kuwa wamasaidi walihamishwa kutoka serengeti kuja pale, hivyo sio ajabu kuhamishwa tena kwenda eneo lingine lenye nafasi. Hataki wamachinga waondolewe kwenye mitaro ya maji, eti amepata agenda.
 
Ndio maana Magu alitaka kummaliza
Mwambieni Samia amalize kazi, CCM si ile ile na Bashite amesharejea mnaogopa nini sasa na Samia si alikuwa makamu wa Jambazi.?

Wauwaji wakubwa nyie.wezi wakubwa nyie wakoloni weusi nyie...
 
Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani?

View: https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc

Una matatizo kuhusu lisu, ukisoma tu report ya CAG utakubali Tanzania ni nchi ya kishenzy, bado umeme, police, wizi, etc.
 
Mfano huo haufanani na huu hapa. Yule mwandishi wa habari ni mkenye na anaishi kenya, anafahamu na anawafahamu wafanyabiashara waliohamia Tanzania kutoka Kenya, lisu anamwambia sio kweli. Mwandishi anamwambia wakenya wanaenda Tz kuweka mafuta kwenye gari na bodaboda zao kwakuwa bei ni rahisi, lisu anamwambia hapana sio kweli huku kwenu hali ni nzuri kuliko kule; sasa huo sio ukichaa?
Mimi naishi boda ya Kenya na Tanzania. Hii ndiyo sehemu niliyokulia. Mahitaji ya nyumbani wakati mwingine nanunua Kenya. Bar za Kenya wananijua kwani jioni navuka kwenda kunywa huko. Najua nachokisema.
 
Back
Top Bottom