Tanzania ni kisiwa cha amani au makao ya waoga?

Kifupi mwananchi akiwa na uhakika wa kula na kulala ni kazi sana kumwambia aingie barabarani kuandamana kwa Sababu yeyote iwe ya heri au shari Hana mipango hizo porojo bakini nazo wanasiasa ndio maana hawajitokezi.
 
Kifupi mwananchi akiwa na uhakika wa kula na kulala ni kazi sana kamwambia aingie barabarani kuandamana kwa Sababu yeyote iwe ya heri au shari Hana mipango hizo porojo bakini nazo wanasiasa ndio maana hawajitokezi.
Walibya walikuwa na njaa gani hata kuamua kumfurusha Kanali Ghadafi?
1. Akiwapa nyumba bure!
2. Aliwahakikishia ajira, na wale wasiokuwa na ajira akiwapa posho ya kujikimu.

Hivi utailinganisha shibe ya Walibya kabla ya kumpindua Ghadafi na shibe ya Watanzania wa sasa?
 
Hujui kitu Diaspora ukoo wa mfalme wa Libya aliyepinduliwa na Gaddafi ndio walimpindua Ghadaffi wakisaidiwa na nchi kule walikuwa wakiishi ikiwemo Marekani

Wa ndani ya Libya hawakuwa na Shida na Ghadafi walimuona mtu poa tu
 
yaani ukiwa na akili ndogo shida sana sasa kenya wanafaidi nini maandamano kila siku wangekuwa wanafaidi wasinge andamana tanzania ndiyo tunafaidi nchi yetu ndiyo maana unaona imetulia hakuna shida na bughuza zozote
 
yaani ukiwa na akili ndogo shida sana sasa kenya wanafaidi nini maandamano kila siku wangekuwa wanafaidi wasinge andamana tanzania ndiyo tunafaidi nchi yetu ndiyo maana unaona imetulia hakuna shida na bughuza zozote
Sahihi
 
Makao ya waoga
 
Pambio hilo la sie kuwa kisiwa cha amani linakolezwa hasa na walowezi na vibaraka wao kwa vile wanamendea na kumezea mate visima vya amana vilivyojaa Tanzania.
Alipokuwa akihojiwa na BBC, mmoja wa wawekezaji waliotaka kuja kuwekeza Tanzania lakini akawekewa breki dakika za mwisho na utawala wa Mkapa, alipoulizwa juu ya fursa zilizopo Tanzania, aliesema kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee unayoweza kwenda ukiwa masikini lakini ukarejea ukiwa tajiri!
 
Ni makao ya waoga hakuna amani.
 
Hakuna amani, ni vile tu Ubinafsi. Ukionewa Juma, kwasababu sio mshkaji wangu au hatuswali pamoja naona poa tu. Washkaji kibao wanapitishwa kwenye misoto na hawa viongozi wetu takataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…