Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika
Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa nchi mojawapo ikipigiwa chapuo inafanya vizuri, lakini ujio wa John Magufuli aliyeamua kubinya uhuru wa kidemokrasia umetishia uwezekano wa nchi hiyo ya Tanzania kuwa na uendelevu wa kutaka kujikwamua kiuchumi na kijamii kama ilivyokuwa ikionekana chini ya Mwalimu Julius Nyerere, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete.
Ghafla ile nuru iliyoanza kuonekana ya Maendeleo ya Vitu na Maendeleo ya Watu na wadau wa maendeleo kutaka kuingia Dubai kuchangia sekta mbalimbali za kiuchumi sasa malengo hayo yanatishiwa na Utawala wa CCM Mpya siyo tu Tanzania Tanganyika bali hata kisiwani Zanzibar.
Tanzania sasa imekuwa mfano wa nchi iliyogubikwa na maamuzi na mipango mibaya ya utawala gandamizi unaotishia nuru ya maendeleo iliyokuwa imeanza kujitokeza. Hata hivyo kelele za kutaka mabadiliko ndani ya nchi hazijapoa na Tundu Lissu mwanasiasa mpinzani jasiri amejitokeza kuwa mwiba kwa utawala gandamizi wa Magufuli.
Kwa kutizama video hii utaweza kupata majibu ya mtanziko unaopelekea kurudisha nyuma yale matumaini kuwa Afrika ikiwemo nchi hii ya Tanzania ilivyokuwa inatazamwa kama mfano lakini sasa mambo yanaanza kuharibika na kukatisha ile tamaa kuwa Afrika ilianza kuleta Mapinduzi ya kuwezesha uchumi na demokrasia kupaa na hivyo kuwezesha kuvutia uwekezaji ktk bara hili.
TANZANIA: el EJEMPLO que pone en RIESGO el DESPEGUE de ÁFRICA- VisualPolitik
Published on 15 Sep 2020
El continente africano ha comenzado a despertar. O mejor dicho algunos países africanos han roto lo que parecía una condena eterna a vivir sumidos en la miseria. Claro que el camino no es fácil. Fijaos por ejemplo en Tanzania. Durante años fue una de las grandes promesas del continente: su economía crecía y su sistema democrático daba pasos para consolidarse. Sin embargo, desde la llegada al poder del actual presidente John Magufuli, todo cambió. De repente la prosperidad desapareció y una ola de violencia y represión se ha apoderado del país. Incluso en Zanzíbar la amenaza del islamismo radical está más presente que nunca. Tanzania se ha convertido en el ejemplo perfecto de que con malas políticas, malos líderes y malas decisiones el crecimiento y la prosperidad tienen marcha atrás. ¿Quieres saber más sobre cómo están las cosas en el que parecía iba a ser uno de los grandes protagonistas del despegue africano? Pues… Atentos a este vídeo. *En la preparación de este vídeo han participado Javier Angulo, Fernando Gutierrez y Álvaro Mijares
Source : VisualPolitik