joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kaka hiyo ninaelewa, lakini ukifuatilia jinsi Magufuli alivyoipanga timu yake, na jinsi watu wanavyowajibika " Intelligently', pumzika usiwe na wasiwasi. Sisemi kwamba tupo 100% perfect, lakini ninadiriki kusema kwamba tupo vizuri sana.Mzee bado ni mapema kujua kama tumefanikiwa yale maambukizi ya Kagera yanashtua kidogo. Moja ukiangalia vizuri tuna njia za panya nyingi zaidi ya nchi zote za Afrika Mashariki kutokana na kuwa na mpaka mrefu zaidi. Upande wa magharibi esp. Lake Tanganyika sidhani kama kuna ulinzi wa kutosha. Pili Tuendelee kuhimiza hatua zaidi haswa mikusanyiko nyumba za ibada!
Kaka hiyo ninaelewa, lakini ukifuatilia jinsi Magufuli alivyoipanga timu yake, na jinsi watu wanavyowajibika " Intelligently', pumzika usiwe na wasiwasi. Sisemi kwamba tupo 100% perfect, lakini ninadiriki kusema kwamba tupo vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ninatulia, ila kumbuka kwamba:Tulia kidogo mzee bado hatujavuka!
Mimi fingers crossed huku! nangoja matokeo baada ya Ijumaa Kuu na Pasaka!Sawa ninatulia, ila kumbuka kwamba:
1) Wali wa kushiba huonekana katika sinia
2) Nyota njema huonekana asubuhi
3) Ushindi hutegemea mbinu bora.
Ila ngoja nitulie kama ulivyonishauri MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie apeleke jeshi mipakani akianza Kenya-Tanzania, Uganda-Tanzania na Rwanda-Tanzania. Kwa mfano mpaka wa Tanzania na Kenya kuna panya roads zaidi ya 1000!
=====
AUTHORITIES at the Namanga border post in Arusha Region have raised alarm over motorcycle taxi operators who ferry people from the Kenyan side into Tanzania through ‘panya routes’ to avoid screening for Covid-19 and undergoing mandatory quarantine for 14 days.
Dr Gabriel Mdachi, the officer in charge of health at the Namanga One Stop Border Post (OSBP) said here yesterday that those who procure services of bodaboda to flaunt rules are foreigners as well as Tanzanians returning home from Kenya.
He said they hire services of motorcycle taxi riders to evade scanners mounted at OSBP and enforcement of mandatory quarantine.
Dr Mdachi said they came to learn of the dangerous practice the hard way after it emerged that people who came through the official border had normal temperatures but when told about the quarantine, opted to go back to Kenya only to be spotted in Tanzania much later.
“We later found out that they hire bodaboda riders who ferry them through the bush into the Tanzanian side, ride them to the main road where they board public transport and continue with their destinations,” he said.
After learning of the practice, authorities became more alert and recently caught one Tanzanian and two Rwandans who refused to be quarantined at their own cost and instead chose to go back to Kenya which they were allowed to do.
However, the trio did not go beyond no-man’s land into Kenya but disappeared into the bush and called a motorcycle taxi rider who took them inside Namanga where they landed in the hands of law enforcers.
“They were arrested while boarding a mini bus heading to Arusha. Their passports have been taken away and they are being quarantined under supervision of the defence and security committee of Longido District,” he said.
Dr Mdachi appealed to bodaboda riders in the area to stop ferrying people through illegal routes as the practice jeopardises lives of millions of Tanzanians.
He also called on public transport operators plying Namanga-Arusha route as well as passengers on such vehicles not to accept passengers emerging from the bush.
Nevely Mungaya, the Namanga town executive director acknowledged the challenge, saying that the focus is now to sensitize bodaboda riders in the area so that they understand the threat posed by their greed for a few extra coins.
Motor taxi operators were taking part in other illegal activities and strategies were being laid down to stop them, he asserted.
“They are believed to be behind the transportation of illegal immigrants from the Horn of Africa into Tanzania as well as narcotics. Now they are helping people enter Tanzania illegally,” he stated.
Samweli Chala, the secretary of the association of minibus drivers in the area said they held a meeting and resolved not to take passengers brought by bodaboda riders from the bushes.
“We agreed that operational licences will be revoked for a driver caught taking passengers brought by bodaboda from unauthorized spots. The vehicle will be brought back to Namanga, impounded and the driver involved prosecuted,” he added.
Wakenya wengi sasa wameanza kuzinduka, hii mitandao ya kijamii inawafungua macho sana wakenya, mwanzoni walipumbazwa sana na vyombo vyao vya habari ambavyo vimewajaza ujinga kwa kuwasifia sana na kudharau nchi zingine.Tatizo la nchi jiranicni kuiga kila kinachofanywa na wazungu kama mazombie bila kuangalia mazingira yao yakoje, mwishowe wanaharibu uchumi na kuua watu njaa.
Wakenya ni hopeless. Serikali itolee macho mpakani mwetu na Kenya, hivi kama locusts tu wameshindwa ku-control, hii corona wanawezaje?Kuna kitu kinaitwa " Bahati mbaya kutokana na kuzaliwa au kupakana". Kenya wana bahati mbaya sana kwa kujikuta wamepakana na Somalia, nchi iliyovurugwa na ugaidi na vita visivyokua na mwisho.
Tanzania ina bahati mbaya sana kwa kupakana na Kenya, nchi ambayo haina mipango yoyote madhubuti ya kupambana na kuenea kwa Corona zaidi ya kupima na kutangaza matokeo kila siku.
Ila taarifa nilizozipata toka Arusha Jana, serikali imeimarisha sana mpango wa Nyumba kumi katika vijiji vya Jirani na Kenya, wanawakamata sana hao wanaojaribu kuvuka mpaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hawa wakenya hawawezi kubadilika wala kujifunza kwa hiari yao bila kuwamwagia pilipili kidogo machoni, hawa ni kama limau "Lemon", wakati limao unalikata, linajua kwamba lengo la kukatwa ni ili litoe ile" juice", lakini halitoi linasubiri ulikamue japo kidogo.
Vyombo vya habari ambavyo Kila siku unanukuu hapa especially Citizen TV na Nation leo sio za kuaminika?Wakenya wengi sasa wameanza kuzinduka, hii mitandao ya kijamii inawafungua macho sana wakenya, mwanzoni walipumbazwa sana na vyombo vyao vya habari ambavyo vimewajaza ujinga kwa kuwasifia sana na kudharau nchi zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachana na Wakenya Bro Kama huwapatii suluhisho.Kaka hawa wakenya hawawezi kubadilika wala kujifunza kwa hiari yao bila kuwamwagia pilipili kidogo machoni, hawa ni kama limau "Lemon", wakati limao unalikata, linajua kwamba lengo la kukatwa ni ili litoe ile" juice", lakini halitoi linasubiri ulikamue japo kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sasa ni mapema sana kujua kama maambukizi ni machache ama lah!Bado hatujajua mbinu zetu zimepiga hatua kwa kiasi gani.Ila mkuu ugonjwa upo ni kujiadhari kabisa. Nadhani tuache muda useme lakini naamin nchi yangu kuna kitu hakiko sawa. Niishie hapo.Kaka hawa wakenya hawawezi kubadilika wala kujifunza kwa hiari yao bila kuwamwagia pilipili kidogo machoni, hawa ni kama limau "Lemon", wakati limao unalikata, linajua kwamba lengo la kukatwa ni ili litoe ile" juice", lakini halitoi linasubiri ulikamue japo kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachana na Wakenya Bro Kama huwapatii suluhisho. Usifurahie maafa ya Wakenya hujui ni yapi yatakupata Tena kwa karibu.
Kila siku unafungua Uzi wa Corona lengo lako kuu ni kuiponda Kenya haswa kwenye maambukizi na vifo...Tanzania is not on Mars na siombei mtu au kundi au Nchi yeyote mabaya. Be careful Mkuu si Jambo jema baada ya miezi kadhaa unapata Mitandao haina watu kwa ugonjwa huu au hata kuaga dunia....this shit is real man.