joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Hahahaha, hivi ninyi wakenya mnaakili kweli, ninyi hamzuii kuenea kwa maambukizi, badala take mnazuia hadi wapi wapate maambukizi ndio mfanye testing na kutangaza.Ujinga gani hii, without robust testing you can't say how many cases you have.
and the Magufuli govt is capable of shutting down anyone who announces any infection numbers against the govt sources.
1) Sisi tunaimarisha juhudi za kuzuia watu mipakani ili wasiingie nchini kabla ya kuwekwa chini ya karantini kwa siku 14.
2) Kwa wale ambao kwa bahati mbaya wameingia nchini wakiwa na ugonjwa na tulishindwa kuwagundua, basi watakutana na dawa zinanyunyizwa kila eneo la nchi, kamwe hawawezi kuambukiza wengine.
Eleza ninyi zaidi ya kupima na kutangaza, ni hatua gani zingine mnazotumia kuzuia maambukizi?
Sent using Jamii Forums mobile app