Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Wakenya wengi sasa wameanza kuzinduka, hii mitandao ya kijamii inawafungua macho sana wakenya, mwanzoni walipumbazwa sana na vyombo vyao vya habari ambavyo vimewajaza ujinga kwa kuwasifia sana na kudharau nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hku hvyo hvyo vyombo unaendelea kuvitumia kupata habari kutoka kenya na kuleta km ushahidi jf[emoji1787][emoji1787]
What a fool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kinachoweza kuthibitisha hapo nilipokoleza ni vipimo tu na sio maneno ya mtu.

Kumbuka ugonjwa unaweza kuchukua zaidi ya week kutambua dalili.

Ila nidiriki kusema kwa maoni yangu hatua tunazochukua hazitoshi kudhibiti Corona. Time shall tell.

Sasa kwani zoezi hili limeanza jana?

Kama wapo watu kwa maelfu huko mitaani wana Corona na hatutambui, siungeona wagonjwa wanajazana Mahospitali? Ugonjwa haufichiki.

Anayepinga, kudoubt kuhumu umahiri na weledi wa hali ya juu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni MCHAWI.

So far, Tanzania government have done an incredible job which had proven to be a mundane task to so many countries across the world.

When it comes to national security, Tanzania occupies a special place along with China, Russia, North Korea. On matters of security, Tanzania is an indubitably 5-stars General.
 
Kwahiyo hao 84 kuna shida gani kuwekwa karantini sasa, wewe ulitakaje maana hao ndio wasafiri waliokuja, sasa tulazimishe wageni waje ili tuongeze idadi ya watu waliokarantini ili wafike 2000 kama nyinyi? Ulitakaje?
Wivuu na hasira baada ya kuona tumewadhalilisha tena kwa kuwaonyesha kwamba Tanzania ni baba lao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia akili, utanyunyiza dawa Dodoma, Tanga au Morogoro ambako hakuna mgonjwa hata mmoja?, hujaona Arusha wakinyunyiza dawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utumie akili mkuu. Watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine huoni Kuna haja ya kufanya hivyo mikoa yote? Ni mpaka yatokee madhara ndo mchukue hatua. Akili ipo wapi hapo?
 
Kuna nchi kama 18 duniani hili gonjwa wanalisikia na kuliona kwenye tv au radio tu
Kama wenye virusi hawataingia sana basi tuko salama bado
Tufuate ushauri kutoka kwa wataalamu na tutavuka tu
Mungu atunusuru
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Japan anafanya targeted testing mzee baba.

Huku uliowataja wakifanya mass testing.

-Nikubali pia Japan kaimarisha mipaka na mipaka ya Japan siku zote ipo imara.

Ila anafanya targeted testing.

Sijajua sisi na hawa majirani zetu tunapimaje.

Kenya kwa siku anapima wangapi? Na sisi kwa siku tunapima wangapi?

Cc MK254
Thursday tulipima 600+
Wazungu na tecnologia yote inawalemea sembuse poor stinking AFRICA!
NCHI zimejaa careless people all over,
Waaafrica na sifa za kindergarten huwa hawashindwi
 
Wewe ndo utumie akili mkuu. Watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine huoni Kuna haja ya kufanya hivyo mikoa yote? Ni mpaka yatokee madhara ndo mchukue hatua. Akili ipo wapi hapo?
Ulishaona wapi nchi inapeleka dawa za kipindupindu nchi nzima kwasababu tu mkoa wa Dar es Salaam na Pwani kuna kipindupindu?, au unanyunyiza dawa za kuua mbu wa Dengue nchi nzima kwasababu Dar imekumbwa na Dengue, eti kwasababu watu wanasafiri?. Jaribu tena kutumia akili kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa unajidanganya ati mnatumia mbinu ya kudhibiti wageni wanaoingia Tanzania let me ask you some simple questions.

Are you testing all vistors entering Tanzania ama mnawapima joto? 😂😂

Since all vistors to Tanzania are being put under Mandatory government quarantine
why is it that less than 200 people are in quarantine?....
ama unataka kutuambia since March 19 watu less than 200 ndo wameingia Tanzania?

Are your borders closed or open?

Are their passenger flights still using JNIA?
Wageni wote wanaokuja Tz wanapelekwa kwenye mandatory 14 days quarantine, uwe na dalili au usiwe na dalili. And by all we mean ALL!
 
Sasa kwani zoezi hili limeanza jana?

Kama wapo watu kwa maelfu huko mitaani wana Corona na hatutambui, siungeona wagonjwa wanajazana Mahospitali? Ugonjwa haufichiki.

Anayepinga, kudoubt kuhumu umahiri na weledi wa hali ya juu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni MCHAWI.

So far, Tanzania government have done an incredible job which had proven to be a mundane task to so many countries across the world.

When it comes to national security, Tanzania occupies a special place along with China, Russia, North Korea. On matters of security, Tanzania is an indubitably 5-stars General.

Hujakosea, uko sahihi sana hapo kwa North Korea, mlishakua kama wao kwenye kila namna, tofauti ni ile wao wamewazidi kiuchumi mara 1,000 pamoja na vikwazo vyao.
 
Wageni wote wanaokuja Tz wanapelekwa kwenye mandatory 14 days quarantine, uwe na dalili au usiwe na dalili. And by all we mean ALL!

Mumesema mna watu 200 kwenye karantini, ilhali mipaka yote ipo wazi mnaendelea kupokea kila ngendere, ikiwemo hata waganga njaa wenu wanaokuja Kenya kinyemela na kugeuza, kwa mahesabu ya hharaka mlipaswa kuingiza karantini zaidi ya watu 1,000 kwa siku.
 
Hahahaha, because you copy each and everything done by America without using your brain, we are using Japanese model, it works better for us. To you Japanese are wrong and Americans are correct?, Japan' s deaths less than 50, while in USA more than 4,000, still do you think testing many people works better than target testing?.

Sent using Jamii Forums mobile app
It depends on what you mean by Target testing for example not everybody in Kenya is being tested.The first group of people being tested are all those who came to the country after 22nd March.Most of whom are under quarantine,they are are about 2050.
So far only 187 are remaining.
After we are done with the group we are expanding to other areas.
Usione Kama GOK inakurupuka tu.Its a well thought-out process.
 
Talking of Japanese model and American model
Please visit statita.com and see the graph of Japanese infections.They are headed in the wrong direction more infections are happening at an increasing rate .That means the rate of infections is not slowing .
For America they did a mistake of not doing rigorous testing at first they only started testing when the virus started hitting them hard.
 
Wewe ndo utumie akili mkuu. Watu wanatoka mkoa mmoja kwenda mwingine huoni Kuna haja ya kufanya hivyo mikoa yote? Ni mpaka yatokee madhara ndo mchukue hatua. Akili ipo wapi hapo?
We have limited resources, tumia akili, lazima tufanye targeted disinfection kwanza kwa kutumia limited resources tulizonazo, hivi mtu aking’atwa na nyoka mguuni unafunga kamba juu ya mguu aliong’atwa au unafunga kamba shingoni? Tumia akili!
 
Mumesema mna watu 200 kwenye karantini, ilhali mipaka yote ipo wazi mnaendelea kupokea kila ngendere, ikiwemo hata waganga njaa wenu wanaokuja Kenya kinyemela na kugeuza, kwa mahesabu ya hharaka mlipaswa kuingiza karantini zaidi ya watu 1,000 kwa siku.
Hizo ni takwimu zako wewe, ila elewa, kila anaekuja kwa njia rasmi anawekwa karantini siku 14, na ulinzi unaimarishwa mipakani kudhibiti vichochoro vya panya toka Kenya, and by all we mean all! And its working.
 
It depends on what you mean by Target testing for example not everybody in Kenya is being tested.The first group of people being tested are all those who came to the country after 22nd March.Most of whom are under quarantine,they are are about 2050.
So far only 187 are remaining.
After we are done with the group we are expanding to other areas.
Usione Kama GOK inakurupuka tu.Its a well thought-out process.
So, is it working for you?
 
Talking of Japanese model and American model
Please visit statita.com and see the graph of Japanese infections.They are headed in the wrong direction more infections are happening at an increasing rate .That means the rate of infections is not slowing .
For America they did a mistake of not doing rigorous testing at first they only started testing when the virus started hitting them hard.
And what do the statistics say about Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom