Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Talking of Japanese model and American model
Please visit statita.com and see the graph of Japanese infections.They are headed in the wrong direction more infections are happening at an increasing rate .That means the rate of infections is not slowing .
For America they did a mistake of not doing rigorous testing at first they only started testing when the virus started hitting them hard.
Umeanza kuwa mtabiri sio?, Japan ndio nchi iliyoanza kupata maambukizi kabla ya USA, lakini hadi Leo bado vifo ni 50, wakati USA waliochelewa kupata maambukizi wanakaribia kufikisha 5000 deaths, bado unazungumza kuhusu graph ya Japan kupanda.

Lazima mkubali kwamba mlianza vibaya kama walivyokosea wamarekani, kupima pekee sio muhimu sana katika kuzuia maambukizi, muhimu ni kuhakikisha mnazuia wageni kuingia, na miji yote yenye wagonjwa mnaiweka chini ya " lockdown" na kufanya " massive fumigations".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni takwimu zako wewe, ila elewa, kila anaekuja kwa njia rasmi anawekwa karantini siku 14, na ulinzi unaimarishwa mipakani kudhibiti vichochoro vya panya toka Kenya, and by all we mean all! And its working.

Sio takwimu zangu, ni takwimu za wakuu wenu wanapotoa taarifa kwa wana habari, jifundishe kuskliza waziri wako kwa kila anachokisema, sio unakomea tu pale akitaja idadi ya waathirika unaacha kumskliza.
Msklize anaposema mengine kama
Idadi ya waliopimwa
Wangapi wapo karantini
Wangapi wanasubiri kupimwa
Wangapi waliopona

Na takwmiu zingine zote. Tatizo uwezo wenu wa kufikiri huwa mdogo sana.
 
Who can’t tell?, check the official global statistics, how are they able to tell?

Kwa siku mbili sasa waziri wenu hajatoa idadi ya wale tested, aliibuka tu na kusema kunao wamepona, aidha mtakua mumesitisha testing vifaa vya kufanya tests vimeishiwa maana mnategemea maabara moja tu.
 
Congrats to Ugandan government! This initiative should be emulated by all Uganda's neighbors!

Kwa siku mbili sasa waziri wenu hajatoa idadi ya wale tested, aliibuka tu na kusema kunao wamepona, aidha mtakua mumesitisha testing vifaa vya kufanya tests vimeishiwa maana mnategemea maabara moja tu.
Muhimu ni kwamba, WHO wanazikubali na kuzitumia, hiyo ni dalili kwamba tumekidhi viwango vya kidunia. Wenye wivu kwasababu huku nako pia tinawashinda kwa mbali sana.

Tokea lini watu wawili mnaoshindana, mmoja kati yao ndio anataka mashindano yafanyike anavyotaka yeye?.

WHO ndio wanaosimamia haya mapambano duniani kote, kila nchi wanao wawakilishi wao, wakisharidhika na jinsi serikali inavyopambana na ugonjwa, ndio huchukua hizo data na kuzipeleka Geneva na zinatumika kama data za duniani nzima.

Kenya 126, 4deaths
TZ. 20, 1deaths

Hahahaha, inauma lakini uzembe na akili zenu finyu ndio zinazowaingiza matatani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EUxHFrxXgAE8jyB
 
Pamoja na hiyo maabara moja ila maambukizi tumezibiti kidogo kilicho letea maambukizi kupungua

Utajuaje maambukizi unayo machache wakati uwezo wa kupima huna, mbona hii haihitaji elimu ia mnajitoa ufahamu, kwa wiki tatu sasa mumepima 300 wakati sisi tunapima 300 kwa siku.
Acheni kubweteka, acheni kuchekelea juhudi za Wakenya, nyie ni nchi maskini sana yenye uwzo mdogo kwenye haya mambo.
 
Sio takwimu zangu, ni takwimu za wakuu wenu wanapotoa taarifa kwa wana habari, jifundishe kuskliza waziri wako kwa kila anachokisema, sio unakomea tu pale akitaja idadi ya waathirika unaacha kumskliza.
Msklize anaposema mengine kama
Idadi ya waliopimwa
Wangapi wapo karantini
Wangapi wanasubiri kupimwa
Wangapi waliopona

Na takwmiu zingine zote. Tatizo uwezo wenu wa kufikiri huwa mdogo sana.
Takwimu zetu ni wagonjwa 20, period. Kama unawajua wagonjwa wengine wa Corona tuambie wewe.
 
Utajuaje maambukizi unayo machache wakati uwezo wa kupima huna, mbona hii haihitaji elimu ia mnajitoa ufahamu, kwa wiki tatu sasa mumepima 300 wakati sisi tunapima 300 kwa siku.
Acheni kubweteka, acheni kuchekelea juhudi za Wakenya, nyie ni nchi maskini sana yenye uwzo mdogo kwenye haya mambo.

EUwJ_cLXsAEaLYi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom