passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Ukimuona mkenya yoyote Tanzania toa taarifa apelekwe karantini kwa uchunguzi wa ugonjwa wa korona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Don't be amazed by just mere numbersUmeanza kuwa mtabiri sio?, Japan ndio nchi iliyoanza kupata maambukizi kabla ya USA, lakini hadi Leo bado vifo ni 50, wakati USA waliochelewa kupata maambukizi wanakaribia kufikisha 5000 deaths, bado unazungumza kuhusu graph ya Japan kupanda.
Lazima mkubali kwamba mlianza vibaya kama walivyokosea wamarekani, kupima pekee sio muhimu sana katika kuzuia maambukizi, muhimu ni kuhakikisha mnazuia wageni kuingia, na miji yote yenye wagonjwa mnaiweka chini ya " lockdown" na kufanya " massive fumigations".
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si unapima suspected cases ambazo unazo, kama suspected cases tulizokuwa nazo ni 300 unataka tuziongeze ili tuwe sawa na nyinyi? Au ulitakaje?Utajuaje maambukizi unayo machache wakati uwezo wa kupima huna, mbona hii haihitaji elimu ia mnajitoa ufahamu, kwa wiki tatu sasa mumepima 300 wakati sisi tunapima 300 kwa siku.
Acheni kubweteka, acheni kuchekelea juhudi za Wakenya, nyie ni nchi maskini sana yenye uwzo mdogo kwenye haya mambo.
Suspected cases wote wamepimwa, regardless ni wangapi, hao ndio suspected cases, nitauliza latest numbers, i suggest you inquire the same from official govt. departments.Idadi mliopima ni ngapi?
Wiki Tatu na zaidi sasa tangu mgonjwa wa kwanza ajulikane Tanzania, kama kuna watu wameambukizwa tunategemea waanze kuugua na kujitokeza katika Hospitali kama yule rubani wenu ambaye ndani ya wiki moja aliugua na kwenda Hospital, mbona hawsjitokezi hao walioambukizwa ambao hatujawajua?.Utajuaje maambukizi unayo machache wakati uwezo wa kupima huna, mbona hii haihitaji elimu ia mnajitoa ufahamu, kwa wiki tatu sasa mumepima 300 wakati sisi tunapima 300 kwa siku.
Acheni kubweteka, acheni kuchekelea juhudi za Wakenya, nyie ni nchi maskini sana yenye uwzo mdogo kwenye haya mambo.
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
And Kenya has six (6) times more people than Tz?, hence the difference?Don't be amazed by just mere numbers
Let's do some simple math
Japan has 2935 cases and 69 deaths that means there is 1 death in every 38 people
USA has 277985 people and 7146 deaths that is approximately 1 death in every 43 people
An intelligent person will be able to interpret the data and determine which between the two is more affected.
😀 😀 😀 sawa kaka....sio eti naomba Tanzania wawe na wagonjwa zaidi, ni swali tu rahisi nimeuliza..Suspected cases wote wamepimwa, regardless ni wangapi, hao ndio suspected cases, nitauliza latest numbers, i suggest you inquire the same from official govt. departments.
It seems you didn't get the point.Those are just simple ratiosAnd Kenya has six (6) times more people than Tz?, hence the difference?
Sasa kama hatuna wagonjwa wapya tutangaze nini?
Na umejibiwa, suspected cases wote wamepimwa, na wanaendelea kupimwa jinsi wanavyojitokeza😀 😀 😀 sawa kaka....sio eti naomba Tanzania wawe na wagonjwa zaidi, ni swali tu rahisi nimeuliza..
kwa hivo wacheni kurusha rusha midomo mkisema watu ni wajinga
The impact of COVID is not on number of deaths, is on the burden it puts to the heath system, economy and lives if that country, that is mainly determined by the number of people infected.Don't be amazed by just mere numbers
Let's do some simple math
Japan has 2935 cases and 69 deaths that means there is 1 death in every 38 people
USA has 277985 people and 7146 deaths that is approximately 1 death in every 43 people
An intelligent person will be able to interpret the data and determine which between the two is more affected.
hayaNa umejibiwa, suspected cases wote wamepimwa, na wanaendelea kupimwa jinsi wanavyojitokeza
Wewe ni mtumishi wa Wizara?Nimeona hata uelewa wako wa nini kinachoendelea ni mdogo sana, matangazo ya waziri kila siku anatangaza matokeo ya maabara, tayari mnazo sampuli kibao mnazohangaika kupima kwa kutumia maabara moja, na kila siku mnatoa habari ya matokeo mpaka siku hizo samples zitaisha. Matokeo yanaweza yakawa mazuri kwa kusema wote tuliowapima leo hakuna aliyegunduliwa kuwa nacho.
Kusitisha kutoa taarifa aidha itakua mashini zimegoma au mnakusanya kusanya.
Nawaambia muache kuchekelea Wakenya.
Sasa kojoa ukalale.haya
Katika hili hatutowacha kuwaambia ukweli, kwasababu dawa ya jipu ni kulipasua. Mbinu zenu mnazotumia katika kukabiliana na Corona, sio sahihi kabisa, na idadi itaendelea kuongezeka kila siku hadi mtakapobadilisha mbinu.😀 😀 😀 sawa kaka....sio eti naomba Tanzania wawe na wagonjwa zaidi, ni swali tu rahisi nimeuliza..
kwa hivo wacheni kurusha rusha midomo mkisema watu ni wajinga
Wewe ni mtumishi wa Wizara?
you get a bigger sample...300 is such a small number out of 57m people to declare a success...Unapima suspected cases, kama zilikiwa 300 tu we ulitaka tufanyeje sasa?