Kwahivyo hata hauna takwimu za waliopimwa, wacha kujifanya kijuaji.
Alafu nyinyi watanzania ndo mlikua mnasherehekea kuona Kenya wagonjwa wanaongezeka, wengine wenu hata mli tu tukana kabisa na kutuita wajinga na wasio na akili..... Tukawaambia nyinyi hampimi kitu, mka kana, sahii naona mmeacha mchezo na mmeanza kupima mnapata wagonjwa wengi wengi kwa mpigo manake hapo awali mlikua hampimi kitu (Uganda na Rwanda naona wameanza kucheza mchezo huo huo na walikua wameanza vizuri sana)......... Ule ujanja wote ambao mlisema mnao sasa mnaanza kugundua kumbe ilikua ni Ujinga mtupu....
Somo la siku: Ukicheka mtu anaevuka kidimbi cha maji kwasababu ali yumbayumba na akateleza, jua huyo mtu atakucheka zaidi wakati wako wa kuvuka ukifika hata kama utateleza kidogo tu!