Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Geza naona umenza tena kimbele mbele 🙄😳😳😳
Sasa vile mmeanza kupima watu sasa tunaanza kuona takwimu za kikweli
April 10th Kenya ilikua na kesi 189 za corona
Leo hii siku 9 baadae, tarehe 19 April kenya iko na kesi 270 za corona kwahivyo ni wagonjwa 270-189 = 81. Tumeongeza wagonjwa 81 ndani ya siku tisa.
Tanzania 10 April ilikua na kesi 32
Leo hii tarehe 19 April mko na kesi 170.... Ndani ya siku tisa Tz mmeongeza wagonjwa 138 wapya
Kwahivyo acha huo ujinga wa kupost vi video na vi tweet vya kulinganisha juhudi za Kenya VS juhudi za Tanzania.... Kuna nchi nyingi sana zilizoendelea kutuliko na zilitia juhudi kabambe kutuliko na bado walipatwa na mlipuko wa kesi mpya, Usifikiria Tanzania ni nchi spesheli ambapo juhudi zake ndo zitafanyikiwa, nchi nyingi sana zilidhani waoo ni watu spesheli...Kwasasa nchi ambazo zimeonekana wazi kua na uwezo wa kudibithi corona bila vifo ni Germany na South Korea....
Sisi hapa EAC tunafaa tu tulie tupambane na corona, manake bado hatujafika peak infection, wiki hii unaweza ukadhani uko salama,wiki ijayo ukashtuka kesi zimefika elfu... Mwanzo huku Kenya mass testing inaanza rasmi hivi karibuni, tarajia ukiona tunapitisha kesi elfu moja au hata elfu tano... Lakini ukiona hivyo usianze kutucheka,,,,, wakati wenu utafika na nyinyi pia mtaamua kupima watu wengi na ukifika huo wakati hautakua wacheka tena.