Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghana tayari huko,kesho wanaachiwa mtaani lockdown imewashindwakorona mafuaa tu jamani..😂
View attachment 1425998
Ghana tayari huko,kesho wanaachiwa mtaani lockdown imewashindwa
Holy shit man. This is jacked upView attachment 1427271
You can only hide the extent of the problem for so long, If it is poorly managed there are no two ways about it. Hata muweke wangapi korokoroni ukweli utachipuka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Amana ni hospitali kubwa ile, inapokea wagonjwa wengi pia vifo ni vingi japo ni kweli huduma za afya pale bado haziko sawa kivile na hili ni tatizo la nchi nyingi za Afrika co Tz tu, ss asihusishe vifo pale Amana kwmb vinatokana na corona moja kwa moja ni upumbavu wa hali ya juu na kutaka kuitisha jamii.
Hiyo ni hesabu ambayo unaweza kuipata kwa google
Ghana have tested over 57000 samplesGhana is the first African country to lift its Coronavirus lockdown
After three weeks, the West African country of Ghana’s coronavirus lockdown has been lifted. This makes it the first country in Africa to not extend the confinement.
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app