Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Utajuaje kuwa maambukizi tz ni kidogo kuliko kenya wakati kenya wanatangaza tz ni siri hadi wanazikana usiku,au hujui watu huzikwa usiku? Mara ya mwisho pm kutangaza Tz ilikuwa na idadi kubwa kuliko kenya 485. Hivi, tangia hapo ni siri hadi,huu ujasiri wa kusema kenya maambukizi ni zaidi ya tz mwautoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiulizwa leo mgufuli yuko wapi huna jibu, si ikulu Dar, si Chato labda Rubondo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiulizwa leo mgufuli yuko wapi huna jibu,si ikulu dar,si chato labda rubondo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtu mjinga pekee ambaye atauliza alikokua rais badala ya kuuliza anayofanya rais. Rais sio Mwalimu ambaye hawezi kufanya kazi yake bila kuwepo darasani.

Hivi unajua kwamba rais anafanya kazi popote pale alipo ndani ya nchi yake? Hivi umuhimu wa kuwepo kwa Ikulu ndogo mikoani ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakificha number ya vifo huko Tz, nazo videos kwa upande mwingine zinachapishwa.
 

Ata yule mjinga zaidi ya wote hawezi changanya ujinga Kama huu aseme ni dawa.
 
Ata yule mjinga zaidi ya wote hawezi changanya ujinga Kama huu aseme ni dawa.
Wewe acha hujaambiwa utumie ww, hyo ni kwa ajili ya WaTz co malaya wa kikenya haiwezi kufanya kazi ktk miili yenu iliyojaa sumu za whites [emoji3][emoji3]
 
Wewe acha hujaambiwa utumie ww, hyo ni kwa ajili ya WaTz co malaya wa kikenya haiwezi kufanya kazi ktk miili yenu iliyojaa sumu za whites [emoji3][emoji3]
Kwanini vifo mingi zinatoka Tanzania na mko na dawa? Malaya wa Kenya hawana dawa na hawana vifo za kuanguka anguka kwa barabara.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…