Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajuaje kuwa maambukizi tz ni kidogo kuliko kenya wakati kenya wanatangaza tz ni siri hadi wanazikana usiku,au hujui watu huzikwa usiku? Mara ya mwisho pm kutangaza Tz ilikuwa na idadi kubwa kuliko kenya 485. Hivi, tangia hapo ni siri hadi,huu ujasiri wa kusema kenya maambukizi ni zaidi ya tz mwautoa wapi?Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?
Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.
Viva Tanzania; Tumejipanga sana.
Vikosi vyote vya POLISI wa kutuliza fujo vimegeuzwa kuwa vikosi vya kupambana na Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukiulizwa leo mgufuli yuko wapi huna jibu, si ikulu Dar, si Chato labda RubondoKaka hiyo ninaelewa, lakini ukifuatilia jinsi Magufuli alivyoipanga timu yake, na jinsi watu wanavyowajibika " Intelligently', pumzika usiwe na wasiwasi. Sisemi kwamba tupo 100% perfect, lakini ninadiriki kusema kwamba tupo vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mtu mjinga pekee ambaye atauliza alikokua rais badala ya kuuliza anayofanya rais. Rais sio Mwalimu ambaye hawezi kufanya kazi yake bila kuwepo darasani.Hata ukiulizwa leo mgufuli yuko wapi huna jibu,si ikulu dar,si chato labda rubondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakificha number ya vifo huko Tz, nazo videos kwa upande mwingine zinachapishwa.Alifariki kwa ajali acha kulazimisha. Tanzania in one week mmepoteza watu mashuhuri zaidi ya 20 ikiwemo waziri na wabunge watatu na inasemekana pale dar watu wanakufa sana ila serikali inakana wamefariki kwa corona. Geza vipi hizi vifo za ghafla wakati huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo ni uongo mtupu my friend.Nairobi zaidi ya watu 600 wamekufa kwa Corona lakini Serikali inaficha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendelee kuipiga covid-19 kwa dawa zetu za kiafrika natumai tutashinda [emoji116][emoji116]
Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19 - JamiiForums
HII HAPA NI DAWA YA CORONA YA KUNYWA
Ndugu zangu mwenye macho haambiwi tazama, dawa hizi zimesaidia watu wengi usipuuze, kule juu nimeweka dawa ya kujifusha, ila hiyo wataalamu wangu wa mitishamba wanasema inafanya kazi kwa mtu ambaye dalili ndo zinaanza ila mdudu akishaingia kwenye mapafu na kuanza kufanya yake ni ngumu kumtoa kwa mtindo wa kujifusha, wanasema kujifusha inafanya kazi pale tu mtu ataitumia ndani ya siku nne baada ya kuhisi dalili, ila kwa yule ambaye tayari ameshaanza kupata madhara au tayari yupo katika critical condition atumie mchanganyiko huu kwakweli utamsaidia sana [emoji116][emoji116]
MAHITAJI;
Unga wa tangawizi nusu kilo
Unga wa karafuu nusu kilo
Unga wa zaatari nusu kilo
MATUMIZI;
Chukuwa kila dawa kijiko 1 kikubwa changanya pamoja vijiko 3, katika hivyo vijiko 3 utatoa kijiko 1 kikubwa utaweka ndani ya sufuria kisha weka maji glasi 1 na nusu kisha weka jikoni kwa moto usio mkali sana chemsha kwa dakika 10 kisha ipuwa, ikiwa bado ya moto chukuwa limao moja kamulia ndani yake koroga vizuri unywe kama unavyo kunywa chai, ndani ya hiyo dawa usije kutia asali wala sukari kunywa hivyo hivyo, na kama umeshapata ugonjwa utakuwa unakunywa kwa siku mara 4 baada ya masaa 3, yani utachukuwa ule mchanganyiko wa vijiko 3 vya dawa utatoa kijiko 1 utaweka ndani ya sufuria na kisha utaweka maji glasi moja na nusu utachamsha kwa dakika 10 utaipuwa na kuiweka dawa ndani ya kikombe pasipo kuichuja kisha utaikamulia limao na kukoroga na kunywa utakunywa hiyo dawa kila baada ya msaa 3 kwa siku utakunywa mara 4 au hata mara 6 sio mbaya(kwa wale ambao ugonjwa ushaanza kuwatafuna) ukitumia siku 7 siku 10 mpaka siku 15 utakuwa umepona kabisa.
Asanteni sana na Mungu atubariki kwa pamoja tumshinde adui huyu.
Wewe acha hujaambiwa utumie ww, hyo ni kwa ajili ya WaTz co malaya wa kikenya haiwezi kufanya kazi ktk miili yenu iliyojaa sumu za whites [emoji3][emoji3]Ata yule mjinga zaidi ya wote hawezi changanya ujinga Kama huu aseme ni dawa.
Kwanini vifo mingi zinatoka Tanzania na mko na dawa? Malaya wa Kenya hawana dawa na hawana vifo za kuanguka anguka kwa barabara.Wewe acha hujaambiwa utumie ww, hyo ni kwa ajili ya WaTz co malaya wa kikenya haiwezi kufanya kazi ktk miili yenu iliyojaa sumu za whites [emoji3][emoji3]
Mnakufa kama wadudu ila Serikali yenu inaficha.Kwanini vifo mingi zinatoka Tanzania na mko na dawa? Malaya wa Kenya hawana dawa na hawana vifo za kuanguka anguka kwa barabara.
Usitufananishe tafadhali.
Uka na evidence of what you are talking about ama ni kilele tu kama za chura?
Kwani ninyi mko na evidence kuhusu wanaokufa Tanzania?Uka na evidence of what you are talking about ama ni kilele tu kama za chura??
Ukiangalia kwa mitandao utapata video kila pahali za watanzania especially madereva wa magari za safari.. Wanapatikana kwa barabara wameanguka anguka na wengine wanakufia kazini mwao, manyumbani na kwa mahosipitali.