Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Huu uzi umelala sn, vp Wakenya mshakubali kwmb Tz ni mfano wa kuigwa katika kupambana na covid-19??


Cc: mwaswast Zigi Rizla Kafrican MK254 Nicxie komora096 Teargass [emoji116][emoji116][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1477189

Tuige nini haswa, kuzika vichwa ardhini na kuficha, je umetazama video za BBC zinavyowaumbua mnachokifanya, madaktari wenu wanatoa siri yenu, hamna cha kuiga hapo na ni ujinga sana kwa mataga kushabikia hadi hili maana linahusu ndugu zenu, wazazi wenu na hata nyie wenyewe...
 
Kwahyo hawa ni waongo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Alafu MK ckia, mm ndio nnayeishi Tz and since day one nimekuwa nikisema huo ugonjwa huku haupo kwa kiasi icho now wamefanya research zao and they have come up with this bitter truth to u[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…