Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yako aliyeiga upumbavu wa baba yako.Wewe ni taka taka kweli yani, Nani aige upumbavu
Kuna watu wakiona hii wanajisikia vibaya sana maana predictions zao ilikua TZ yote iangamie kwa Covid-19.
Huwezi kuwaona tena humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huu uzi umelala sn, vp Wakenya mshakubali kwmb Tz ni mfano wa kuigwa katika kupambana na covid-19??
Cc: mwaswast Zigi Rizla Kafrican MK254 Nicxie komora096 Teargass [emoji116][emoji116][emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1477189
Kwahyo hawa ni waongo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Tuige nini haswa, kuzika vichwa ardhini na kuficha, je umetazama video za BBC zinavyowaumbua mnachokifanya, madaktari wenu wanatoa siri yenu, hamna cha kuiga hapo na ni ujinga sana kwa mataga kushabikia hadi hili maana linahusu ndugu zenu, wazazi wenu na hata nyie wenyewe...
Alafu MK ckia, mm ndio nnayeishi Tz and since day one nimekuwa nikisema huo ugonjwa huku haupo kwa kiasi icho now wamefanya research zao and they have come up with this bitter truth to u[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Tuige nini haswa, kuzika vichwa ardhini na kuficha, je umetazama video za BBC zinavyowaumbua mnachokifanya, madaktari wenu wanatoa siri yenu, hamna cha kuiga hapo na ni ujinga sana kwa mataga kushabikia hadi hili maana linahusu ndugu zenu, wazazi wenu na hata nyie wenyewe...