Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Corona haipo Tz, Mara ya mwisho walitangaza ilikuwa Mwezi wa April idadi ikiwa 481 cases & 21 deaths. Kutoka hapo hatujawahi kusikia Tena Visa vya covid-19... joto la jiwe hata alihepa JF Hadi idadi ilipo "pungua" na kusikia 20 πŸ˜‚πŸ˜‚
Pikeni takwimu kwa Raha zenu.
 
Tanzania na Burundi ndo miongoni mwa mifano mibaya zaidi duniani, hata msithubutu... Kumbuka kule kwa takwimuza corona bado mnasema mko na wagonjwa 500 pekee tangu April!
U shud update ur brain my friend, last time I checked there were only 4 patients
 
Tanzania na Burundi ndo miongoni mwa mifano mibaya zaidi duniani, hata msithubutu... Kumbuka kule kwa takwimuza corona bado mnasema mko na wagonjwa 500 pekee tangu April!
Mifano mibaya kwa vigezo gani,kwani kenya ina wagonjwa wangapi mpaka sasa!
 
Sisi huku mitaani tushaachana na barakoa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
I just decided to ignore him
 
Wewew ni wa kupuuzwa, hauna hoja kabisa, kuishi kwako huko Tandale hauwazidi madaktari wanaowaumbua, kwaheri.
Kumbe ni mkaazi wa Tandale! No wonder πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Just because Magufuli told you so? This is an epitome of insanity. Watch this short BBC video, itakufumbua macho
Mm niletee report za WHO usiniletee ushuzi wa BBC hapa sitaki habari za sports hapa nahitaji health reports.
 
Wewew ni wa kupuuzwa, hauna hoja kabisa, kuishi kwako huko Tandale hauwazidi madaktari wanaowaumbua, kwaheri.
Mk umesanda hahahaha, tazama hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…