Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Corona haipo Tz, Mara ya mwisho walitangaza ilikuwa Mwezi wa April idadi ikiwa 481 cases & 21 deaths. Kutoka hapo hatujawahi kusikia Tena Visa vya covid-19... joto la jiwe hata alihepa JF Hadi idadi ilipo "pungua" na kusikia 20 😂😂
Pikeni takwimu kwa Raha zenu.
 
Tanzania na Burundi ndo miongoni mwa mifano mibaya zaidi duniani, hata msithubutu... Kumbuka kule kwa takwimuza corona bado mnasema mko na wagonjwa 500 pekee tangu April!
U shud update ur brain my friend, last time I checked there were only 4 patients
 
Tanzania na Burundi ndo miongoni mwa mifano mibaya zaidi duniani, hata msithubutu... Kumbuka kule kwa takwimuza corona bado mnasema mko na wagonjwa 500 pekee tangu April!
Mifano mibaya kwa vigezo gani,kwani kenya ina wagonjwa wangapi mpaka sasa!
 
Tuige nini haswa, kuzika vichwa ardhini na kuficha, je umetazama video za BBC zinavyowaumbua mnachokifanya, madaktari wenu wanatoa siri yenu, hamna cha kuiga hapo na ni ujinga sana kwa mataga kushabikia hadi hili maana linahusu ndugu zenu, wazazi wenu na hata nyie wenyewe.
I just decided to ignore him
 
I just decided to ignore him
Kwnn usini ignore wkt nyie kwenu mnaendelea kuuwawa na covid-19, cc huku mambo km hv[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
tapatalk_1592034612898.jpeg
 
Wewew ni wa kupuuzwa, hauna hoja kabisa, kuishi kwako huko Tandale hauwazidi madaktari wanaowaumbua, kwaheri.
Mk umesanda hahahaha, tazama hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom