Deni lenu halijawahi kupungua kwa miaka mingi sana, hilo nalo ni lengine ambalo mmetiwa gizani!
Alafu kumbuka kwavile hampimi, hao wanaokufa kwa TB,Malaria, High blood pressure, kisukari utakuta kumbe hata ilikua ni corona ndo ikamaliza immune system yao kusababisha wafe..... Na kwavile walikua wanajulikana wanaugua ugonjwa flani, basi anazikwa ikisemekana, "alikufa na pnemonia huyo" Kumbe ni corona ndo ilimshika na kama hangeshikwa na corona basi angeweza kupigana na hio pnemonia..
Watu ambao wana haya mangonjwa wako nayo ndo wakipatwa na corona majority wanafariki..... Alafu huku Africa tuko na HIV juuu ya haya magonjwa, hakuna maabara ya Arica imechapisha kama kuna thibitisha wa vifo kwa wale walio na HIV.......
Kwahivyo huko TZ unaeza kuta watu wanakufa na ugonjwa wa moyo, diabetes, pnemonia na wanazikwa alafu watu wanatangaza Tanzania hakuna corona, Kumbe hamjui kuna baadhi ya hivyo vifo vimesababishwa na corona....