Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Hospitality hapana, shule buku Saba hapana labda polisi na mahakamani Kama haupo praise team.
Nikose praise team ili nikae wapi, lazima nimuunge mkono raisi anayepiga vichwa matikiti mkenya kama wewe,na baadhi ya vilaza wa Bongo.
 
Hatulazimiki na hatuoni umuhimu wake
Jamaa mmoja kawaamulia kuwaeka watu millioni 60 gizani alafu jamaa wanakuja kutetea,, sote tunajua JPM hakuwahusisha katika hio decision, aliamka asubuhi na kuamua yeye mwenyewe na nyi wengine hamna budi ili kukubali kinyonge 😂
Kesho anaweza kuamka na aamue kutangaza number mpya hadharani na utakua hauna budi ila kukubali, utakuja hapa uanze kutetea na useme kuna umuhimu wa kutangaza...blah blah blah
 
hata sijui unabishana nini hapa na ni wazi tu serekali yenu imewatia gizani...

Mlitoka 509 hadi 4, waliponaje?
Ni watu wangapi mmepima tangu April mlipoacha kutangaza takwimu?
Kama ingekua mnafanya kazi mngekua mnasema wiki hii tumepima 1000 na wote 1000 wametoka negative, lakini hamfanyi hivyo....

Ni sawa sawa tu na JPM atangaze leo kwamba Tanzania hakuna ukimwi kwasababu ya maombi, hivi utakuja hapa ubishane na mimi kwamba hakuna ukimwi tena TZ wakati hata mtoto mdogo atakucheka manake anajua ni porojo tupu!
Wewe bana kama una wenge la njaa uniambie mapema.

Ngoja nikupange kichwa chako kikae sawa,iko hivii,

Toka april tumetangaza mpaka sasa ni zaidi ya mwezi na nusu,tuyape maambukizi namba yoyote unayotaka hata mini 3500,je wagonjwa hawa hawafariki!???wanazikwa wapi,misiba iko wapi mtaani kwetu??
Nakwambia haya sababu mimi naishi wilaya yenye msongamano kuliko zote tz temeke(mbagala).nisingepata ujasiri wowote kupinga kama hali ingekuwa hii unayoisema mtaani.

Ukimwi ni ugonjwa wa virusi kama corona,ila si kama corona hivyo rais hawezi sema hayo wakati anajua hali ikoje mtaani.

Nyinyi wenzetu tumajua kuna kitu mmetega kuhusu corona na hamtaki tuwaharibie,ndio sababu mnalazimisha visivyokuwepo,wapo wakenya wanalalamika quarantine wana zaidi ya wiki mbili wanaambiwa wanaumwa tu.
 
Hio ni logic ya kitoto sana, hata huku niliko hua kuna watu wanatumiahio logic kusema eti hakuna corona manake hajaskia mtu anaejua anazikwa kwasababu corona.

Hivi niambie, ushawahi kuskia watu wangapi wamekufa kwa ugonjwa wa Malaria? hivi unajua kuna Watanzania zaidi ya 20,000 hufa kwa malaria kila mwaka? Je ni wangapi ambao unawajua wanakufa kwa TB? Chorela?

Kuna Watanzania 1.4 Million wako na ugonjwa wa ukimwi, na kama 35,000 hufa kila mwaka, Hebu niambie ni wangapi amabo walizikwa mwaka jana ambao unawajua walikufa na ukimwi kati ya hao 35,000. Tangu nizaliwe hadi sasa, mi najua kama watu watatu tu ambao nilisikia walikufa kwasababu walikua na ukimwi.

KWahivyo mnatarajiaje eti kukiwa na watu 3,500 wa corona basi ni lazima ujue mtu au awe jirani ndo uamini kuna corona? 3,500 ni sampuli ndogo sana kwa nchi ya watu milioni 60, hata wakafika 100,000 corona +ve bado itakua ni nadra kupata mtu unayemjua , labda tukielekea 1 Million infections ndo utakua unasikia jirani ameshikwa..

Alafu wale wanaosema eti Kenya inatangaza kwasababu eti tupate mikopo ya World bank, huo nao ni upuzi mwengine. Serekali ya Kenya imepoteza kodi nyingi kuliko hizo hela zote tutakazopata kutoka nje, kwahivyo labda uniambie tutapewa $10Billion na WB, hio misaada na mikopo ya kutoka nje haifikii ile kodi serekali imepoteza kwasababu ya uchumi kusimama.
 
Hio ni logic ya kitoto sana, hata huku niliko hua kuna watu wanatumiahio logic kusema eti hakuna corona manake hajaskia mtu anaejua anazikwa kwasababu corona.

Hivi niambie, ushawahi kuskia watu wangapi wamekufa kwa ugonjwa wa Malaria? hivi unajua kuna watanzania zaidi ya 20,000 hufa kwa malaria kila mwaka? Je ni wangapi ambao unawajua wanakufa kwa TB? Chorela?

Kuna Watanzania 1.4 Million wako na ugonjwa wa ukimwi, na kama 35,000 hufa kila mwaka, Hebu niambie ni wangapi amabo walizikwa mwaka jana ambao unawajua walikufa na ukimwi kati ya hao 35,000. Tangu nizaliwe hadi sasa, mi najua kama watu watatu tu ambao nilisikia walikufa kwasababu walikua na ukimwi.

KWahivyo mnatarajiaje eti kukiwa na watu 3,500 wa corona basi ni lazima ujue mtu au awe jirani ndo uamini kuna corona? 3,500 ni sampuli ndogo sana kwa nchi ya watu milioni 60, hata wakafika 100,000 corona +ve bado itakua ni nadra kupata mtu unayemjua , labda tukielekea 1 Million infections ndo utakua unasikia jirani ameshikwa..

Alafu wale wanaosema eti Kenya inatangaza kwasababu eti tupate mikopo ya World bank, huo nao ni upuzi mwengine. Serekali ya Kenya imepoteza kodi nyingi kuliko hizo hela zote tutakazopata kutoka nje, kwahivyo labda uniambie tutapewa $10Billion na WB, hio misaada na mikopo ya kutoka nje haifikii ile kodi serekali imepoteza kwasababu ya uchumi kusimama

Labda hujui maana ya neno pandemic desease ndio sababu umeamua kubishana na mimi kwa hoja hizo.corona ni yofauti na hayo mengine hapo juu uliyoorodhesha.

Na hata kama ni hivyo bado utakubaliana na sisi,kwamba corona kama si pandemic hatutakiwi kuipa atention kiasi hicho maana ni sawa na ukimwi,marelia na TB bali tahadhali tu.

Kama inaua chini ya TB,Maralia,HIV,wakenya kiwewe mnatoa wapi!!!tukiwaita bendera fuata upepo mnanuna,tukisema mna maslahi na huu ugonjwa mnakataa,tuwaeleweje!!!!ndio sababu sisi tumeamua kuupa ugonjwa cheo chake kama mengine na kuchukua tahadhali zaidi.

Sisi tuna watu makini wanaojua mambo kabla ya kuamua,leo mkenya anashangaa mtz kuomba msamaha wa deni,wakati mwenzie hana hasara kama aliyo nayo yeye mkenya[emoji16][emoji16].
Sisi tunapunguza deni,nyinyi mnakopa kuja kufidia hasara mliyo sababisha wenyewe,halafu mnatucheka tumepata masamaha kiduchu,kupanga ni kuchagua.
 
Bro mko wakati wa uchaguzi/kampeni Lissu kapigwa risasi, Mbowe kavunjwa mguu, Corona ni kaugonjwa kadogo uliza Nkurunziza
 
Labda hujui maana ya neno pandemic desease ndio sababu umeamua kubishana na mimi kwa hoja hizo.corona ni yofauti na hayo mengine hapo juu uliyoorodhesha.

Na hata kama ni hivyo bado utakubaliana na sisi,kwamba corona kama si pandemic hatutakiwi kuipa atention kiasi hicho maana ni sawa na ukimwi,marelia na TB bali tahadhali tu.

Kama inaua chini ya TB,Maralia,HIV,wakenya kiwewe mnatoa wapi!!!tukiwaita bendera fuata upepo mnanuna,tukisema mna maslahi na huu ugonjwa mnakataa,tuwaeleweje!!!!ndio sababu sisi tumeamua kuupa ugonjwa cheo chake kama mengine na kuchukua tahadhali zaidi.

Sisi tuna watu makini wanaojua mambo kabla ya kuamua,leo mkenya anashangaa mtz kuomba msamaha wa deni,wakati mwenzie hana hasara kama aliyo nayo yeye mkenya[emoji16][emoji16].
Sisi tunapunguza deni,nyinyi mnakopa kuja kufidia hasara mliyo sababisha wenyewe,halafu mnatucheka tumepata masamaha kiduchu,kupanga ni kuchagua.
Deni lenu halijawahi kupungua kwa miaka mingi sana, hilo nalo ni lengine ambalo mmetiwa gizani!

Alafu kumbuka kwavile hampimi, hao wanaokufa kwa TB,Malaria, High blood pressure, kisukari utakuta kumbe hata ilikua ni corona ndo ikamaliza immune system yao kusababisha wafe..... Na kwavile walikua wanajulikana wanaugua ugonjwa flani, basi anazikwa ikisemekana, "alikufa na pnemonia huyo" Kumbe ni corona ndo ilimshika na kama hangeshikwa na corona basi angeweza kupigana na hio pnemonia..

Watu ambao wana haya mangonjwa wako nayo ndo wakipatwa na corona majority wanafariki..... Alafu huku Africa tuko na HIV juuu ya haya magonjwa, hakuna maabara ya Arica imechapisha kama kuna thibitisha wa vifo kwa wale walio na HIV.......

_111835507_optimised-ons_death_causes-nc.png

Kwahivyo huko TZ unaeza kuta watu wanakufa na ugonjwa wa moyo, diabetes, pnemonia na wanazikwa alafu watu wanatangaza Tanzania hakuna corona, Kumbe hamjui kuna baadhi ya hivyo vifo vimesababishwa na corona....
 
Msamaha Mpaka saa ngapi kwani kila siku ni kusamehewa madeni? Kazi ni kunyoosha vibakuli na hakuna maendeleo yanaonekana hata mkisamehewa, hela mnapeleka wapi Kama sio ufisadi wa Hali ya juu?
 
Hamna maendele,hii kauli imetoka tumboni kwako au mdomoni ikianzia kichwani[emoji16][emoji16].

Unatoa kauli ambayo hata moyo wako unakusihi,hay bitch dont fool yourself.
 
Deni lenu halijawahi kupungua kwa miaka mingi sana, hilo nalo ni lengine ambalo mmetiwa gizani!

Alafu kumbuka kwavile hampimi, hao wanaokufa kwa TB,Malaria, High blood pressure, kisukari utakuta kumbe hata ilikua ni corona ndo ikamaliza immune system yao kusababisha wafe..... Na kwavile walikua wanajulikana wanaugua ugonjwa flani, basi anazikwa ikisemekana, "alikufa na pnemonia huyo" Kumbe ni corona ndo ilimshika na kama hangeshikwa na corona basi angeweza kupigana na hio pnemonia..

Watu ambao wana haya mangonjwa wako nayo ndo wakipatwa na corona majority wanafariki..... Alafu huku Africa tuko na HIV juuu ya haya magonjwa, hakuna maabara ya Arica imechapisha kama kuna thibitisha wa vifo kwa wale walio na HIV.......

_111835507_optimised-ons_death_causes-nc.png

Kwahivyo huko TZ unaeza kuta watu wanakufa na ugonjwa wa moyo, diabetes, pnemonia na wanazikwa alafu watu wanatangaza Tanzania hakuna corona, Kumbe hamjui kuna baadhi ya hivyo vifo vimesababishwa na corona....

Uchumi pia unakua,idadi ya watu inaongezeka pia,labda ungesema kasi ya ukopaji ni mbaya,kitu ambacho si kweli.

Ndio maana nikasema unaishi na story za keyboard.hii tabia ya kuona ni sahihi kila asemacho mzungu iko kwa watumwa wake tu.

Malaria,HIV,TB,BP ni magonjwa yamekuwa yakiua watu tokea enzi,kwanini tulazimishe corona ndio imekuwa sababu wakati wanaougua wanapona!!!!au kenya wanakufa wote??labda nikujuze tena.namba ya wagonjwa wa corona,tb,diabetes ni kubwa sana,na tuliogopa tukisubiri huenda kila mtaa sasa hali itakuwa ni vilio tu,badala yake hamna jipya.

Kwenye hili wakenya wanajaribu kujionesha walikuwa smart kujisababishia hasara za lockdown,while sisi huku tulifanya jambo hilo tukijua matokeo ni kitu gani,ndio sababu huoni hata wanaipinga serikali wakizungumzia hilo swala tena,maana ni upuuzi.
 
Hamna maendele,hii kauli imetoka tumboni kwako au mdomoni ikianzia kichwani[emoji16][emoji16].

Unatoa kauli ambayo hata moyo wako unakusihi,hay bitch dont fool yourself.
Kauli ya kusamehewa madeni ni uwongo?
 
Deni lenu halijawahi kupungua kwa miaka mingi sana, hilo nalo ni lengine ambalo mmetiwa gizani!

Alafu kumbuka kwavile hampimi, hao wanaokufa kwa TB,Malaria, High blood pressure, kisukari utakuta kumbe hata ilikua ni corona ndo ikamaliza immune system yao kusababisha wafe..... Na kwavile walikua wanajulikana wanaugua ugonjwa flani, basi anazikwa ikisemekana, "alikufa na pnemonia huyo" Kumbe ni corona ndo ilimshika na kama hangeshikwa na corona basi angeweza kupigana na hio pnemonia..

Watu ambao wana haya mangonjwa wako nayo ndo wakipatwa na corona majority wanafariki..... Alafu huku Africa tuko na HIV juuu ya haya magonjwa, hakuna maabara ya Arica imechapisha kama kuna thibitisha wa vifo kwa wale walio na HIV.......

_111835507_optimised-ons_death_causes-nc.png

Kwahivyo huko TZ unaeza kuta watu wanakufa na ugonjwa wa moyo, diabetes, pnemonia na wanazikwa alafu watu wanatangaza Tanzania hakuna corona, Kumbe hamjui kuna baadhi ya hivyo vifo vimesababishwa na corona....
Tunachoangalia ni "mortality rate" katika Hospital zetu na Hospitals beds occupancy, kama havijaongezeka ukilinganisha na kipindi kabla ya Corona, basi tunachukulia Corona is "insignificant", hatuna sababu ya kupoteza nguvu nyingi ni sawa na kusema hakuna Corona
 
Kauli ya kusamehewa madeni ni uwongo?
Uongo upi sasa,kwani deni limesamehewa kwa siri!!!!

Mimi nazungumzia hiyo hoja yako ya kutoona maendeleo,ni wewe hujayaona ukiwa kenya,au ni kweli hayapo?
 
Tunachoangalia ni "mortality rate" katika Hospital zetu na Hospitals beds occupancy, kama havijaongezeka ukilinganisha na kipindi kabla ya Corona, basi tunachukulia Corona is "insignificant", hatuna sababu ya kupoteza nguvu nyingi ni sawa na kusema hakuna Corona
unachoangalia we na nani? serekali ka kana hakuna corona, ajisumbue kuhesabu mortality rate za wagonjwa akitafuta nini?
 
Uongo upi sasa,kwani deni limesamehewa kwa siri!!!!

Mimi nazungumzia hiyo hoja yako ya kutoona maendeleo,ni wewe hujayaona ukiwa kenya,au ni kweli hayapo???
Maendeleo yapo japo kidogo kwa Nchi imesamehewa madeni na zaidi Ina raslimali tosha kuwa kiwango Cha South Africa Ila kwa sasa mnaorodheshwa kundi moja na Burundi na DR Congo. Kweli ama uongo?
 
Kuorodheshwa tu,nyinyi mnaorodheshwa na nchi kama SA mnapata nini kuwekwa huko,sisi tunapata msamaha wa madeni tukiwa huku[emoji23][emoji23][emoji23].

Na tutaendelea kukaa huku mpaka waje washtuke,wamechelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom