joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #1,001
Uzi huu unahusu Corona tafadhali, anzisha uzi kuhusu hilo tutachangia.Sio tu corona.... Ni mfano wa kupigwa zaidi kwa jinsi taifa lilivopambana kumuombea na kumchangia Tundu Lissu aliye pigwa risasi16 mpaka akapona. Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa corona ndio Mungu wa Tanzania.......