Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Sio tu corona.... Ni mfano wa kupigwa zaidi kwa jinsi taifa lilivopambana kumuombea na kumchangia Tundu Lissu aliye pigwa risasi16 mpaka akapona. Mungu wa Tundu Lissu ndio Mungu wa corona ndio Mungu wa Tanzania.......
Uzi huu unahusu Corona tafadhali, anzisha uzi kuhusu hilo tutachangia.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Maskini wa tecno L8 . You like kenya too much.
fc664d0e337e893211e8efaf52e5a834.jpg
JamiiForums1978757720.jpg
 

Wale waliokua wakisema pima, pima, pima, pima, wanatafuta jinsi ya kuyarudisha mdomoni maneno yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom