Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Mkuu sio wewe tu, wengi sana hawakuelewa wapi nilipata ujasiri ule wakati Corona ndio mwanzo ilikua inapamba moto, ila nilikusanya taarifa za kutosha jinsi serikali ilivyojipanga kutoka kwa wahusika wakuu serikalini, nilikua na uhakika 90% kwamba Corona haitopenya kwa wingi Tanzania.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Heheheheheeee ile thread ilikuwa balaa mkuu kuna muda nilianza kuona kama Wakenya wanaenda kushinda af na ww km ulipotea hv basi nkaona hii ngoma tushachemka hii [emoji3][emoji3][emoji3]
 
EiVWDctWoAAkn_6
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom