sisi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.
majibu ya jpm hayajawahi kuwa tata.View attachment 1688272
Ukishaona kiongozi anatoa majibu yenye utata basi ujue hali ni tete, taarifa alizonazo zinampa hofu, mashaka na kushindwa kujiamini! Chukua tahadhari, yeye kapotelea Chato.
Umetaja yote ila ukasahau maombi ya siku tatu? Na Tz ikawa corona free? Imekuwaje sasa eti muda huu wote mumekuwa mkiishi na corona kama kawaida?majibu ya jpm hayajawahi kuwa tata.
mwezi feb mwaka jana alisema,corona ni kama magonjwa mengine tuishi nayo kwa tahadhali na kumuomba Mungu,mkabeza.
mwaka mmoja leo anatoa kauli nyingine kuihusu corona ila ina maudhui yale yale,bado unatamani afeli.
@niliishasema average mtz anatumia akili zaidi kuliko mkenya.Umetaja yote ila ukasahau maombi ya siku tatu? Na Tz ikawa corona free? Imekuwaje sasa eti muda huu wote mumekuwa mkiishi na corona kama kawaida?
Changa la macho hilo! You're now trending worldwide for the wrong reason!@niliishasema average mtz anatumia akili zaidi kuliko mkenya.
unadhani kuishi na kupishana na corona mtaani kisayansi tunaielezeaje hiyo hali!!!
Changa la macho hilo! You're now trending worldwide for the wrong reason!
Mlificha maradhi sasa mnaumbuka!
tunaumbukaje!!!Changa la macho hilo! You're now trending worldwide for the wrong reason!
Mlificha maradhi sasa mnaumbuka!
Ila ukiondoa chuki yako dhidi ya Nyang'au wewe huona mbali sana. Huna that blind patriotism kama wenzako!
tunaumbukaje!!!
hayo ni maandishi tu,kama wewe unaweza andika unavyojiskia.Ona uchungu mwenzio anapitia. Kampoteza jamaa yake na bado mnaambiwa hamna covidi
hayo ni maandishi tu,kama wewe unaweza andika unavyojiskia.
nenda comment section mkumbushe achukue tahadhali,ikiwezekana ameshaambukizwa,asikalie ujinga kwamba hiyo sio dawa.
dsm sina hakika kwa siku wanafariki watu wangapi.Mimi nitakuombea yasikupate. Hapo tu ndio utajua sio maandishi tu.
Wameanza tena huu usenge wao [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Mimi nitakuombea yasikupate. Hapo tu ndio utajua sio maandishi tu.
Bado mmefungiwa lockdown?Kwamba dunia nzima Mungu ni mbaguzi na mpendeleaji yani awe upande wa Tanzania tu Yaani?
Inamaliza nini mbona hatuoni watu wakianguka kama mlivyokuwa mnadaiChukua tahadhari! Usimskize ule mwehu wa Maombi ya siku 3!Corona ipo na inamaliza!
Mbona unawashwa na mambo ya Tanzania buda!?hivi huko kwenu imeisha?
"There are two ways to be fooled. One is to believe what isn't true; the other is to refuse to believe what is true!"Mbona unawashwa na mambo ya Tanzania buda!?hivi huko kwenu imeisha?
Achukue tahadhari ya nini na Tanzania hakuna corona? Mbona ujitahadhari na ugonjwa ambayo haiko in the environment that you live in?hayo ni maandishi tu,kama wewe unaweza andika unavyojiskia.
nenda comment section mkumbushe achukue tahadhali,ikiwezekana ameshaambukizwa,asikalie ujinga kwamba hiyo sio dawa.