Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
sisi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.
88c1f1a8c0f7df126081e9201ea7641f.jpg

Ukishaona kiongozi anatoa majibu yenye utata basi ujue hali ni tete, taarifa alizonazo zinampa hofu, mashaka na kushindwa kujiamini! Chukua tahadhari, yeye kapotelea Chato.
 
View attachment 1688272
Ukishaona kiongozi anatoa majibu yenye utata basi ujue hali ni tete, taarifa alizonazo zinampa hofu, mashaka na kushindwa kujiamini! Chukua tahadhari, yeye kapotelea Chato.
majibu ya jpm hayajawahi kuwa tata.

mwezi feb mwaka jana alisema,corona ni kama magonjwa mengine tuishi nayo kwa tahadhali na kumuomba Mungu,mkabeza.

mwaka mmoja leo anatoa kauli nyingine kuihusu corona ila ina maudhui yale yale,bado unatamani afeli.
 
Umetaja yote ila ukasahau maombi ya siku tatu? Na Tz ikawa corona free? Imekuwaje sasa eti muda huu wote mumekuwa mkiishi na corona kama kawaida?
 
@niliishasema average mtz anatumia akili zaidi kuliko mkenya.

unadhani kuishi na kupishana na corona mtaani kisayansi tunaielezeaje hiyo hali!!!
Changa la macho hilo! You're now trending worldwide for the wrong reason!
Mlificha maradhi sasa mnaumbuka!
 
Ona uchungu mwenzio anapitia. Kampoteza jamaa yake na bado mnaambiwa hamna covidi
hayo ni maandishi tu,kama wewe unaweza andika unavyojiskia.

nenda comment section mkumbushe achukue tahadhali,ikiwezekana ameshaambukizwa,asikalie ujinga kwamba hiyo sio dawa.
 
Mimi nitakuombea yasikupate. Hapo tu ndio utajua sio maandishi tu.
 
hayo ni maandishi tu,kama wewe unaweza andika unavyojiskia.

nenda comment section mkumbushe achukue tahadhali,ikiwezekana ameshaambukizwa,asikalie ujinga kwamba hiyo sio dawa.
Achukue tahadhari ya nini na Tanzania hakuna corona? Mbona ujitahadhari na ugonjwa ambayo haiko in the environment that you live in?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom