Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Mbona unaoneka unaumia sana na Tanzania. Utuache, wewe endeleeni na ya kwenu.
Kwa taarifa yako, hili nalo litapita.
Tuwaache?? πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kabla hujasema haya, umesahau jinsi mlivyokuwa mkiongea kuhusu Kenya in matters concerning covid? Don't tell me you have short memory. Geza Ulole and Joto la Jiwe were very good at this
 
Ingekuwa kenya hamna wanaokufa lea uviko-19, nadhani tusingekunywa maji. Lkn uzuri nyie mmepigwa mfululizo bila kukoma. Tangu aprili mwaka jana mnapigwa tu.
Vp bado mnaendelaea kutangaza wameambukizwa na kufa wangapi?
Tanzania hamna rona bwana. kwani uzipotangaza habari kuna mtu atazifahama. Hamna au zio. mficha uchi kwani uzaa, la au vipi! Kenya wana kimbembele cha kutangaza covid data zao. ...Tz hali halisi imo kwenu changamoto ya kupumua. hapa chini kwa video watu wapo starehe kwa basi.....upumuaji upo sawa tu...... πŸ™„ πŸ™„
 
Nenda kajipange, hujaeleweka.
 
Tanzania downplayed the pandemic, the scientist who doesn’t trust Science mobilised his people for a national prayer for three days and declared Tanzania a Corona-free country.

To him, Tanzania was healed just like that!!!!!

The number of people dying just because of nonsensical negligence of an ignorant leader is just too much.

Wisdom is to accept facts, tell people the truth and conduct massive public awareness campaigns to enlighten people on ways to stay safe.

Don’t create panic of course but this nonsensical narrative of prayer must be stoped.

Innocent people are dying!
Per each one Tanzanian death, there are twenty Kenyans deaths [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo hujajumlisha wale waliodungwa risasi kutia ndani watoto wadogo na maumivu ya zile pesa za uviko-19 kuibwa na wajanja kisha kupeleka kununua mabenki Congo.
 
Per each one Tanzanian death, there are twenty Kenyans deaths [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
That's how you want to console yourself now that you finally came to the reality about the existence of corona in your country. I can tell you without fear that this disease has claimed more Tanzanians than Kenyans for the whole period that mkulu aliwaamisha corona haipo. This is because people were not observing any rules with regards to the virus, despite its presence.

How many people do you think contracted this virus during this period and eventually died for just not observing the rules because they were made to believe that there's no corona? You can deceive some people some of the time but you can't deceive all the people all the time. Some of the people like Seif Sharif Hamad (may his soul rest in peace), stood up to speak the truth about the existence of this virus, despite repeated denial from Magufuli. Unfortunately, he didn't make it. There are hundreds if not thousands who contracted the virus unknowingly and died and no one will ever talk about them because the scientist who defied science criminalized the publication of such information! And you still have the strength to mention Kenya!!
 
The beauty of data, numbers don't lie. Kenya kuna data kwa hivyo utajua rono uandeleaje mtaani. Tanzania hamna rona kwani hamna kupima kwa hivyo hamna data!!! πŸ˜› na maombi tangu mwaka jana imetokomeza rono baharini!!! πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„
 
Nenda kajipange, hujaeleweka.
RONA HAMNA TANZANIA....wasi wasi wanini........bora tupumue bila changamoto yoyote
1613833696457.png
 
Attachments

  • 1613833520520.png
    1613833520520.png
    19.8 KB · Views: 1
Uzuri kenya watu waliokufa kwa uviko-19 wanafufuka sasa. Wanashangaa kwa nini ufufuo haupo Tanzania?
The Internet never forgets....
nyani ni wale wale tu, msitu ndio tofauti πŸ˜› πŸ™„ πŸ˜› πŸ™„
Tundu Antiphas Lissu

@TunduALissu

Hundreds, possibly more, died when the Denier in Chief and fellow ministers led thousands to forgo medical treatment for the magic concoctions of Babu wa Loliondo! 8 years on and he’s doing the same thing with the deadly COVID-19. Will the results be any different this time?

Image

Season 2......Kujifukiza raha...changamoto ya kupu.............. inachana mbuga....Rona hamna Tz
1613869911505.png

11:18 AM Β· Feb 20, 2021Β·Twitter for iPhone
 
Tanzania downplayed the pandemic, the scientist who doesn’t trust Science mobilised his people for a national prayer for three days and declared Tanzania a Corona-free country.

To him, Tanzania was healed just like that!!!!!

The number of people dying just because of nonsensical negligence of an ignorant leader is just too much.

Wisdom is to accept facts, tell people the truth and conduct massive public awareness campaigns to enlighten people on ways to stay safe.

Don’t create panic of course but this nonsensical narrative of prayer must be stoped.

Innocent people are dying!

Can you give us the number (the number you termed as "too much") of people died so?

"Campaign to enlighten people on ways to stay safe" - like Kenya where only too died, right?
 
Kiingereza chako hakieleweki
 
That's how you want to console yourself now that you finally came to the reality about the existence of corona in your country. I can tell you without fear that this disease has claimed more Tanzanians than Kenyans for the whole period that mkulu aliwaamisha corona haipo. This is because people were not observing any rules with regards to the virus, despite its presence.

How many people do you think contracted this virus during this period and eventually died for just not observing the rules because they were made to believe that there's no corona? You can deceive some people some of the time but you can't deceive all the people all the time. Some of the people like Seif Sharif Hamad (may his soul rest in peace), stood up to speak the truth about the existence of this virus, despite repeated denial from Magufuli. Unfortunately, he didn't make it. There are hundreds if not thousands who contracted the virus unknowingly and died and no one will ever talk about them because the scientist who defied science criminalized the publication of such information! And you still have the strength to mention Kenya!!
Msikilize huyu aliyefanya utafiti kuhusu hali ilivyokua, je hao waliokua wanakufa walikua wanazikwa wapi, au tulikua hata makaburi tunaficha?
 
The Internet never forgets....
nyani ni wale wale tu, msitu ndio tofauti [emoji14] πŸ™„ [emoji14] πŸ™„
Tundu Antiphas Lissu

@TunduALissu

Hundreds, possibly more, died when the Denier in Chief and fellow ministers led thousands to forgo medical treatment for the magic concoctions of Babu wa Loliondo! 8 years on and he’s doing the same thing with the deadly COVID-19. Will the results be any different this time?

Image

Season 2......Kujifukiza raha...changamoto ya kupu.............. inachana mbuga....Rona hamna Tz
View attachment 1707817
11:18 AM Β· Feb 20, 2021Β·Twitter for iPhone
, hahahajaha
 
, hahahajaha

, hahahajaha

MMMMM....japo sijamkiza wenzako kwa video, lakini mabeberu sihawtuatakii tanzania mazuri na hatuamini. Vipi tena video zao!! 😑😑Anyway HAMNA Rona Tanzania, mapavu ndio kubanika from time to time!! hapo ndio changamoto ya upumuaji inatatiza kidogo tu!! πŸ™„ πŸ˜› πŸ™„ πŸ˜›

1613913129281.png
 
The beauty of data, numbers don't lie. Kenya kuna data kwa hivyo utajua rono uandeleaje mtaani. Tanzania hamna rona kwani hamna kupima kwa hivyo hamna data!!! πŸ˜› na maombi tangu mwaka jana imetokomeza rono baharini!!! πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„ πŸ™„

Wewe ni Mpumbavu!

Nani alikua alirecord misa hiyo, can't you easily see its a staged event??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom