Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
You talk as if no one is dying in kenya.
Maneno yanayopaswa kutamkwa kwa sasa ni kuwapa watu elimu, na wale waliopoteza wapendwa wao ni kuwapa maneno ya faraja.
Euf8WQKWQAE5GUy.jpeg

Hamna anayefurahia maafa. Kila mtu hapa amepoteza rafiki au mpendwa wake na huwa uchungu.
Elimu ipi Mkuu zaidi ya mtu kuvaa barakoa na kuiweka social distance?
Humu wanampuzisha mwenda zake Mzee Seif na wanafahamu kilichomkuta lakini tazama mwenyewe, wanaichukulia poa corona. Huu kama si upumbavu tuupe jina gani?
 
View attachment 1705413

😛 🤣
Naona una bidii kweli ya kufuatilia habari za Tanzania.
Tupe hali huko kenya, ikoje.
 
EubfwphXcAE20lD.jpeg
Mkuu, ipo haja ya kuchukuwa tahadhari. Mlima bado lakini nafuu ipo!
 
Tanzania downplayed the pandemic, the scientist who doesn’t trust Science mobilised his people for a national prayer for three days and declared Tanzania a Corona-free country.

To him, Tanzania was healed just like that!!!!!

The number of people dying just because of nonsensical negligence of an ignorant leader is just too much.

Wisdom is to accept facts, tell people the truth and conduct massive public awareness campaigns to enlighten people on ways to stay safe.

Don’t create panic of course but this nonsensical narrative of prayer must be stoped.

Innocent people are dying!
 
😛 🤣
Naona una bidii kweli ya kufuatilia habari za Tanzania.
Tupe hali huko kenya, ikoje.
Hamna rona tanzania........
1613671892645.png
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
1613671920492.png
1613671937303.png
 
Attachments

  • 1613671840901.png
    1613671840901.png
    112.9 KB · Views: 1
Duu, mnajua kufuatilia habari za Tanzania!!!
Sisi waTanzania wala hatujui kwenu wangapi na nani wamekufa.
Kutwa kucha bado mnaiwaza Tanzania. Mna shida sana nyie.
Hamna rona tz, nichangamoto ya kupungua hewa kwa mapavu.......changamoto..........
 
Hamna rona tz, nichangamoto ya kupungua hewa kwa mapavu.......changamoto..........

Ingekuwa kenya hamna wanaokufa lea uviko-19, nadhani tusingekunywa maji. Lkn uzuri nyie mmepigwa mfululizo bila kukoma. Tangu aprili mwaka jana mnapigwa tu.
Vp bado mnaendelaea kutangaza wameambukizwa na kufa wangapi?
 
Na aliyewadanganya hamkuwa na covid mda huu wote ni nani? Magufuli? Na mliamini maneno ya huyu mwanasayansi aliyetupilia mbali sayansi na kukumbatia vichekesho? Na iweje leo rona inaua vuongozi wenu wakati mkulu aliwaamisha maombi inlifukuza Corona? Yani kwa jinsi mlivyo vilaza inatia huruma.

Kuhusu matangazo, hiyo bado inafanyika kila siku.
 
Mbona unaoneka unaumia sana na Tanzania. Utuache, wewe endeleeni na ya kwenu.
Kwa taarifa yako, hili nalo litapita.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom