Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
" Sisi turimtanguriza Mungu" ~ JPM
Acha ujinga, weka reliable sources sio udaku, kila Siku zaidi ya watu 300 Tanzania wanakufa kutokana na sababu tofauti tofauti, au wote hao ni Corona?
Ndio huyu mwingine. Tafadhali futa huu uzi!
You talk as if no one is dying in kenya.
Maneno yanayopaswa kutamkwa kwa sasa ni kuwapa watu elimu, na wale waliopoteza wapendwa wao ni kuwapa maneno ya faraja.
Acha ujinga, weka reliable sources sio udaku, kila Siku zaidi ya watu 300 Tanzania wanakufa kutokana na sababu tofauti tofauti, au wote hao ni Corona?
View attachment 1705413
Hamna anayefurahia maafa. Kila mtu hapa amepoteza rafiki au mpendwa wake na huwa uchungu.
Elimu ipi Mkuu zaidi ya mtu kuvaa barakoa na kuiweka social distance?
Humu wanampuzisha mwenda zake Mzee Seif na wanafahamu kilichomkuta lakini tazama mwenyewe, wanaichukulia poa corona. Huu kama si upumbavu tuupe jina gani?
Tahadhari gani mnayochukua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1705503 Mkuu, ipo haja ya kuchukuwa tahadhari. Mlima bado lakini nafuu ipo!
Hamna rona tanzania........😛 🤣
Naona una bidii kweli ya kufuatilia habari za Tanzania.
Tupe hali huko kenya, ikoje.
Wewe nilikuambia huu uzi ufute!Tahadhari gani mnayochukua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna rona tanzania........View attachment 1705766🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
View attachment 1705767View attachment 1705769
Changamoto ile ile, upumuaji ndio shinda! Hamna rona Tz😳!View attachment 1705854
Hivi vifo si vya kawaida! Wapumzike kwa amani.
View attachment 1705854
Hivi vifo si vya kawaida! Wapumzike kwa amani.
Hamna rona tz, nichangamoto ya kupungua hewa kwa mapavu.......changamoto..........Duu, mnajua kufuatilia habari za Tanzania!!!
Sisi waTanzania wala hatujui kwenu wangapi na nani wamekufa.
Kutwa kucha bado mnaiwaza Tanzania. Mna shida sana nyie.
Hamna rona tz, nichangamoto ya kupungua hewa kwa mapavu.......changamoto..........
Na aliyewadanganya hamkuwa na covid mda huu wote ni nani? Magufuli? Na mliamini maneno ya huyu mwanasayansi aliyetupilia mbali sayansi na kukumbatia vichekesho? Na iweje leo rona inaua vuongozi wenu wakati mkulu aliwaamisha maombi inlifukuza Corona? Yani kwa jinsi mlivyo vilaza inatia huruma.Ingekuwa kenya hamna wanaokufa lea uviko-19, nadhani tusingekunywa maji. Lkn uzuri nyie mmepigwa mfululizo bila kukoma. Tangu aprili mwaka jana mnapigwa tu.
Vp bado mnaendelaea kutangaza wameambukizwa na kufa wangapi?
Na aliyewadanganya hamkuwa na covid mda huu wote ni nani? Magufuli? Na mliamini maneno ya huyu mwanasayansi aliyetupilia mbali sayansi na kukumbatia vichekesho? Na iweje leo rona inaua vuongozi wenu wakati mkulu aliwaamisha maombi inlifukuza Corona? Yani kwa jinsi mlivyo vilaza inatia huruma.
Kuhusu matangazo, hiyo bado inafanyika kila siku.