dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,906
- 8,243
Amana ilishatangazwa imetengwa kwa ajili ya Corona tu, hukumsikia Ummy?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Amana ni hospitali kubwa ile, inapokea wagonjwa wengi pia vifo ni vingi japo ni kweli huduma za afya pale bado haziko sawa kivile na hili ni tatizo la nchi nyingi za Afrika co Tz tu, ss asihusishe vifo pale Amana kwmb vinatokana na corona moja kwa moja ni upumbavu wa hali ya juu na kutaka kuitisha jamii.
regardless, mtu mwenye corona hawekwi wodi moja na wengine so kama ameona maiti 18 ni wazi ni za wagonjwa wenzake walio wodi moja!