Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.

plus 3 from Police brutality during Coroavirus lockdown makes 20 deaths!
 
small things that kenya has done for over 40 years! Wait, I have seen this pattern of argument before! Geza is that you masquerading with another account?
Hata mimi nimeshangaa na hiyo post yake. Still trying to understand what his intentions were by posting that. These are things that Kenya has been doing for ages
 
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?.

Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.

Viva Tanzania; Tumejipanga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijui aliyepost hii anajisikiaje
 
Tuendelee kuipiga covid-19 kwa dawa zetu za kiafrika natumai tutashinda [emoji116][emoji116]

Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19 - JamiiForums

HII HAPA NI DAWA YA CORONA YA KUNYWA

Ndugu zangu mwenye macho haambiwi tazama, dawa hizi zimesaidia watu wengi usipuuze, kule juu nimeweka dawa ya kujifusha, ila hiyo wataalamu wangu wa mitishamba wanasema inafanya kazi kwa mtu ambaye dalili ndo zinaanza ila mdudu akishaingia kwenye mapafu na kuanza kufanya yake ni ngumu kumtoa kwa mtindo wa kujifusha, wanasema kujifusha inafanya kazi pale tu mtu ataitumia ndani ya siku nne baada ya kuhisi dalili, ila kwa yule ambaye tayari ameshaanza kupata madhara au tayari yupo katika critical condition atumie mchanganyiko huu kwakweli utamsaidia sana [emoji116][emoji116]

MAHITAJI;

Unga wa tangawizi nusu kilo
Unga wa karafuu nusu kilo
Unga wa zaatari nusu kilo

MATUMIZI;

Chukuwa kila dawa kijiko 1 kikubwa changanya pamoja vijiko 3, katika hivyo vijiko 3 utatoa kijiko 1 kikubwa utaweka ndani ya sufuria kisha weka maji glasi 1 na nusu kisha weka jikoni kwa moto usio mkali sana chemsha kwa dakika 10 kisha ipuwa, ikiwa bado ya moto chukuwa limao moja kamulia ndani yake koroga vizuri unywe kama unavyo kunywa chai, ndani ya hiyo dawa usije kutia asali wala sukari kunywa hivyo hivyo, na kama umeshapata ugonjwa utakuwa unakunywa kwa siku mara 4 baada ya masaa 3, yani utachukuwa ule mchanganyiko wa vijiko 3 vya dawa utatoa kijiko 1 utaweka ndani ya sufuria na kisha utaweka maji glasi moja na nusu utachamsha kwa dakika 10 utaipuwa na kuiweka dawa ndani ya kikombe pasipo kuichuja kisha utaikamulia limao na kukoroga na kunywa utakunywa hiyo dawa kila baada ya msaa 3 kwa siku utakunywa mara 4 au hata mara 6 sio mbaya(kwa wale ambao ugonjwa ushaanza kuwatafuna) ukitumia siku 7 siku 10 mpaka siku 15 utakuwa umepona kabisa.

Asanteni sana na Mungu atubariki kwa pamoja tumshinde adui huyu.
 
Hivi kweli kwa mpango na mbinu hizi bado kuna mwenye kujiuliza kwanini Tanzania maambukizi ya virusi vya Corona ni machache ukilinganisha na nchi za Jirani?

Ikumbukwe kwamba, nguvu za Tanzania zimewekweza zaidi katika kuhakikisha kwamba virusi haviingizwi nchini toka nje ya nchi, na pale ikitokea kwamba vimeingia, basi havisambai kwa watu wengine.

Viva Tanzania; Tumejipanga sana.

Vikosi vyote vya POLISI wa kutuliza fujo vimegeuzwa kuwa vikosi vya kupambana na Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

"TUMEJIPANGA SANA"
 
Tuendelee kuipiga covid-19 kwa dawa zetu za kiafrika natumai tutashinda [emoji116][emoji116]

Nimeitoa kwa jamaa fulani kuhusu tiba asili ya covid-19 - JamiiForums

HII HAPA NI DAWA YA CORONA YA KUNYWA

Ndugu zangu mwenye macho haambiwi tazama, dawa hizi zimesaidia watu wengi usipuuze, kule juu nimeweka dawa ya kujifusha, ila hiyo wataalamu wangu wa mitishamba wanasema inafanya kazi kwa mtu ambaye dalili ndo zinaanza ila mdudu akishaingia kwenye mapafu na kuanza kufanya yake ni ngumu kumtoa kwa mtindo wa kujifusha, wanasema kujifusha inafanya kazi pale tu mtu ataitumia ndani ya siku nne baada ya kuhisi dalili, ila kwa yule ambaye tayari ameshaanza kupata madhara au tayari yupo katika critical condition atumie mchanganyiko huu kwakweli utamsaidia sana [emoji116][emoji116]

MAHITAJI;

Unga wa tangawizi nusu kilo
Unga wa karafuu nusu kilo
Unga wa zaatari nusu kilo

MATUMIZI;

Chukuwa kila dawa kijiko 1 kikubwa changanya pamoja vijiko 3, katika hivyo vijiko 3 utatoa kijiko 1 kikubwa utaweka ndani ya sufuria kisha weka maji glasi 1 na nusu kisha weka jikoni kwa moto usio mkali sana chemsha kwa dakika 10 kisha ipuwa, ikiwa bado ya moto chukuwa limao moja kamulia ndani yake koroga vizuri unywe kama unavyo kunywa chai, ndani ya hiyo dawa usije kutia asali wala sukari kunywa hivyo hivyo, na kama umeshapata ugonjwa utakuwa unakunywa kwa siku mara 4 baada ya masaa 3, yani utachukuwa ule mchanganyiko wa vijiko 3 vya dawa utatoa kijiko 1 utaweka ndani ya sufuria na kisha utaweka maji glasi moja na nusu utachamsha kwa dakika 10 utaipuwa na kuiweka dawa ndani ya kikombe pasipo kuichuja kisha utaikamulia limao na kukoroga na kunywa utakunywa hiyo dawa kila baada ya msaa 3 kwa siku utakunywa mara 4 au hata mara 6 sio mbaya(kwa wale ambao ugonjwa ushaanza kuwatafuna) ukitumia siku 7 siku 10 mpaka siku 15 utakuwa umepona kabisa.

Asanteni sana na Mungu atubariki kwa pamoja tumshinde adui huyu.
This is a special kind of STUPID!!
 
Huu ndo ujinga tunaoenda shule kupigana nao. Wasio na hoja wanaishiaga matusi.
Dawa nyingi za "hospitali" zinatoka Kwenye mimea. Kuna kitu kinaitwa research ambayo inatafuta nini kinachoua au kuaffect mdudu na ni kwa concentration gani na kinapatikana kwa mmea gani, na kinapatikana kwa wingi wapi (majani, magamba, mizizi n.k) Hicho ndo kinafanyiwa extraction na concentration. Unavoambiwa kunywa vidonge viwili mara tatu kwa siku ni kutokana na research iliofanyika ya mdudu husika. Sasa wewe unavosema kijiko kimoja cha kila dawa, ni kutokana na research ipi? Tutajuaje kama vinahitajika vijiko vitatu for max effectiveness? Tunachohitaji ni RESEARCH! we can't keep shooting in the dark! Tunapoteza ammunition and valuable time! Kuniambia niache, haiyeyushi hizi facts jomba!
Ss ww ndio mjinga wa kwanza, kwahyo unaamini vp km haijafanyiwa research? Ingekuwa haijafanyiwa research ungewekewa kipimo, we pimbi nn, btw hii dawa cjaiweka kwa ajili ya Wakenya, hii ni kwa ajili ya WaTz tunaoamini miti shamba, nyie subirini dawa za hospitali, pumbu wee.
 
Ss ww ndio mjinga wa kwanza, kwahyo unaamini vp km haijafanyiwa research?
Unatafuta kubishana tu au ni kuwasilisha hoja yenye mashiko? Ndio naamini haijafanyiwa research. Kama imefanyiwa, imefanywa na nani wapi na lini? Siko tayari for back and forth so kama hujui basi tu-assume haijafanyiwa.
btw hii dawa cjaiweka kwa ajili ya Wakenya, hii ni kwa ajili ya WaTz tunaoamini miti shamba, nyie subirini dawa za hospitali, pumbu wee.
Tatizo la wenye elimu ndogo ndo hii hapa. Assumptions and emotions! Angalia facts Period!
 
Umebadili gia ghafla, saivi sio "unaamini vp kama haijafanyiwa research?"

Ndo maana ya elimu. Ukishaelimika unabadilika otherwise utakua huna tofauti na ng'ombe!

Namuenzi Mwalimu. J.K. Nyerere, alisema tunatakiwa kupambana na umaskini, maradhi na UJINGA.
Ww ni mtumwa lazima uwe na fikra mgando km hzo ckulaumu, af ckia nakupuuza rasmi ctajibu comment yako mana unanipotezea muda wng.
 
Ww ni mtumwa lazima uwe na fikra mgando km hzo ckulaumu, af ckia nakupuuza rasmi ctajibu comment yako mana unanipotezea muda wng.
Have it your way but kupambana na ujinga is my lifetime goal. I will do it anyday everyday!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom