spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndiye Magu bhn mwanzoni unakuwa km humuelewi hv, ila mwishowe unaelewa [emoji3][emoji3][emoji3]Hii thread mwanzo nilianza kuwa na mashaka nayo,ila sasa nimeamza kuielewa
Ukiangalia kwa mitandao utapata video kila pahali za watanzania especially madereva wa magari za safari. Wanapatikana kwa barabara wameanguka anguka na wengine wanakufia kazini mwao, manyumbani na kwa mahosipitali.
The World has already known that Magu is an Alien.
Kule kwenye jukwaa la siasa wengine walifungua nyuzi za kejeli siku ile [emoji23]The World has already known that Magu is an Alien.
[emoji3][emoji3][emoji3] Tunatembea nao mpk waelewe.Kule kwenye jukwaa la siasa wengine walifungua nyuzi za kejeli siku ile [emoji23]