Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Tupe ushahidi japo wa video za madereva Kumi tu.
Ukiangalia kwa mitandao utapata video kila pahali za watanzania especially madereva wa magari za safari. Wanapatikana kwa barabara wameanguka anguka na wengine wanakufia kazini mwao, manyumbani na kwa mahosipitali.
 
Umenena kweli wenzetu wanatumia rasilimali nyingi kupambana na corona.uliponishangaza ni hapo uliposema maambukizi ya corona ni machache hapa kwetu, wewe umejuaje hilo wakati watu hawatoi hata takwimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom