Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Rwanda ndio mfano wa kuigwa si unaona wkt magu yeye kajificha jamhuri ya watu wa chato kwa miezi 3 mwenzake nkurunznza alikua front line na kafa akiwa vitani?
Acha maujinga yako Rwanda ndio mfano wa kiuongozi kupambana na CORONA
 
Kuorodheshwa tu,nyinyi mnaorodheshwa na nchi kama SA mnapata nini kuwekwa huko,sisi tunapata msamaha wa madeni tukiwa huku[emoji23][emoji23][emoji23].

Na tutaendelea kukaa huku mpaka waje washtuke,wamechelewa.
Waliwashtuka kitambo wanajua kwa kuwalia otherwise maendeleo yangeonekana.
 
Waliwashtuka kitambo wanajua kwa kuwalia otherwise maendeleo yangeonekana.
Sasa kama wametuacha sababu kuna kitu wanapata kutoka kwetu,wewe unaumia kwa wivu au upweke!!!!

Taja vitu hata 5 ambavyo kenya imeizidi tz kwa thamani hii ya gape la $38bln, ili nishawishike kwamba mmeendelea zaidi yetu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
1.GDP $100b
2.SGR Mombasa - Naivasha hapa kazi tu.
3. Barabara za ulaya by standards Tena nyingi sio hizo zenu km 17 na haikamiliki.
4.Bandari/Port Mombasa & Lamu biggest in the region.
5. Umeme 3000MW against Tanzagiza's 1350MW
Tuendelee ama tusiendelee? 😉
 
1.GDP $100b
2.SGR Mombasa - Naivasha hapa kazi tu.
3. Barabara za ulaya by standards Tena nyingi sio hizo zenu km 17 na haikamiliki.
4.Bandari/Port Mombasa & Lamu biggest in the region.
5. Umeme 3000MW against Tanzagiza's 1350MW
Tuendelee ama tusiendelee? [emoji6]

Wewe jamaa,nimekwambia nitajie indicators 5 kuonyesha kenya imeizidi tz GDP togauti ya $39bln unataja na GDP tena,ni ulevi ama bangi.

2.SGR hii ya 47's mliyokopa china au kuna ingine inakuja??

3.barabara ya standard za ulaya hapo nairobi ni thika highway,hiyo ni pesa ngapi thamani yake!!!tukilinganisha na BRT network.

4.bandari/kubwa sio matokeo ya GDP wewe mlevi,GDP ndio matokeo ya bandari,itoe hapa.

5.3000MW hapa ndio kidooogo unakuja,maana sisi tumewazidi idadi ya watu,yet mnatumia umeme mwingi kutuzidi,ila bado haijustfy gape la $39bln.

Mimi nilitegemea unitajie vitu kama elimu bure mpaka chuo,matibabu bure au bei chini kabisa,maji safi yawe huduma ya uhakia sadly nairobi tu hapo ni balaa.umeme bei chee kabisa,but sijui umendika vitu gani hapo juu.
 
Ya kwenu ni ipi? [emoji16]
Sasa kama hapo Kenya MTU analala kwa slum na kukula kwa slum hiyo kwa tz ni moja ya kipimo cha mgonjwa wa akili ,Nairobi MTU anaenda chooni atawazi unadhani ni mzima huyo kwa mujibu ya tz wakenya 80% ni wagonjwa wa akili ,only mgonjwa wa akili anaweza kuishi kwenye dampo za slums kama mnazo ishi wakenya ,maana niliwauliza mnitajie kambi yoyote ya wakimbizi inayo fanana na slums za Kenya mkashindwa
 
Kauli ya kusamehewa madeni ni uwongo?
Wewe nyani ya slum mbona mbishi kama ujatawaza ,niambie mara ya mwisho kutawaza ilikuwa mwaka gani maana Nairobi hata maji ya kunywa hakuna
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom