Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Endelea kuokoteza vitweet mitandaoni.

Kwa hiyo kila ukiokota chochote mitandaoni unakuja mbio mbio kuni quote [emoji23][emoji23][emoji23]
Chukua tahadhari! Usimskize ule mwehu wa Maombi ya siku 3!Corona ipo na inamaliza!
 
Mwehu ni yule mlevi wenu anayewarudisha utumwani pumbaf.
It's a sweet game of DENIAL and NEGLIGENCE until it hits your HOME!
Zimbabwe, corona ishamaliza Mawaziri wanne! Chukua tahadhari!
Kwa sasa Herd Immunity ya Meko inamuumbua! This virus is mutating!
EspFTcLXMAAUSDQ.jpeg
Ni jambo la kuhuzunisha Makajamba kama wewe pale Buza hamwambiwi na Dkt Mpango mchukuwe tahadhari, yeye anawalilia Watumishi wa Uma!
 
Chukua tahadhari! Usimskize ule mwehu wa Maombi ya siku 3!Corona ipo na inamaliza!
Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!

Mbona hushangai nchi za EA kuwa na ukabila kasoro Tanzania!
Hv hii ulishaijibu au bado [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
 
Hv hii ulishaijibu au bado [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Humu tunajadili jinsi Tz ilivyo mfano wa kuigwa kwa kupambana na corona! Mwenzako kajaribu kubadili gear ila spanner atazidi kupata.
Wewe ukipenda fungua nyuzi za nzige na ukabila nitakuja changia.
 
It's a sweet game of DENIAL and NEGLIGENCE until it hits your HOME!
Zimbabwe, corona ishamaliza Mawaziri wanne! Chukua tahadhari!
Kwa sasa Herd Immunity ya Meko inamuumbua! This virus is mutating! View attachment 1686571 Ni jambo la kuhuzunisha Makajamba kama wewe pale Buza hamwambiwi na Dkt Mpango mchukuwe tahadhari, yeye anawalilia Watumishi wa Uma!
Inaonekana kila ukiona chochote kinachohusu corona unakuja mbio mbio kuni quote!

Ni genye inakusumbua au ni nini?
 
Inaonekana kila ukiona chochote kinachohusu corona unakuja mbio mbio kuni quote!

Ni genye inakusumbua au ni nini?

Yaani genye si haba ninazo!
Si spanner za namna hii! Sikuachi upumue 😂😂
Sasa umekubali huyu jamaa ni Mwehu kwa kweli?
 
Yaani genye si haba ninazo!
Si spanner za namna hii! Sikuachi upumue [emoji23][emoji23]
Sasa umekubali huyu jamaa ni Mwehu kwa kweli?
Kwa akili yako fupi spana ziko wapi hapo?
Hivi unajua spana kweli wewe! Au unaropoka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywa chai ya malimao na tangawizi nincompoop.
 
Kwa akili yako fupi spana ziko wapi hapo?
Hivi unajua spana kweli wewe! Au unaropoka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywa chai ya malimao na tangawizi nincompoop.

Hapa hutoki! 😅
Ona Mwehu anavyojikaganya? Ipo/Haipo/Ni chache/??
 
UK yenyewe imelimwa ban US wacha kuwashwa na UK ni watu kama wewe[emoji1][emoji1].
EswgWv8W4AEoNtJ.jpeg
EswgWv9XUAUcO56.jpeg
EswgWv-XUAA-j2r.jpeg
EswgWv_W4AMb-C9.jpeg

Rudi Tz! US waache! Wewe unachukua tahadhari? Tazama jinsi taasisi za kijamii zinajitolea kuwaelimisha kwa vile Wizara ya Afya hawawezi!
 
Unaacha kujali afya yako eti uko busy kujali afya yangu na ya Watanzania...embu kuwa na adabu pumbaf.
Mkuu, huu mdudu ukikiangamiza hizi Streets tutakukosa sana! Unataka niwe napea nani hizi nondo? 😂
JF would be so boring!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom