Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!
Mbona hushangai nchi za EA kuwa na ukabila kasoro Tanzania!
Endelea kushupaza shingo! Itavunjika tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!
Mbona hushangai nchi za EA kuwa na ukabila kasoro Tanzania!
Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!
Mbona hushangai nchi za EA kuwa na ukabila kasoro Tanzania!
Endelea kuokoteza vitweet mitandaoni.
Endelea kushupaza shingo! Itavunjika tu!
Chukua tahadhari! Usimskize ule mwehu wa Maombi ya siku 3!Corona ipo na inamaliza!Endelea kuokoteza vitweet mitandaoni.
Kwa hiyo kila ukiokota chochote mitandaoni unakuja mbio mbio kuni quote [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwehu ni yule mlevi wenu anayewarudisha utumwani pumbaf.Chukua tahadhari! Usimskize ule mwehu wa Maombi ya siku 3!Corona ipo na inamaliza!
It's a sweet game of DENIAL and NEGLIGENCE until it hits your HOME!Mwehu ni yule mlevi wenu anayewarudisha utumwani pumbaf.
Chukua tahadhari! Usimskize ule mwehu wa Maombi ya siku 3!Corona ipo na inamaliza!
Hv hii ulishaijibu au bado [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]Mbona hushangai nzige kuvamia nchi za EA kasoro Tanzania!
Mbona hushangai nchi za EA kuwa na ukabila kasoro Tanzania!
Humu tunajadili jinsi Tz ilivyo mfano wa kuigwa kwa kupambana na corona! Mwenzako kajaribu kubadili gear ila spanner atazidi kupata.Hv hii ulishaijibu au bado [emoji115][emoji115][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Inaonekana kila ukiona chochote kinachohusu corona unakuja mbio mbio kuni quote!It's a sweet game of DENIAL and NEGLIGENCE until it hits your HOME!
Zimbabwe, corona ishamaliza Mawaziri wanne! Chukua tahadhari!
Kwa sasa Herd Immunity ya Meko inamuumbua! This virus is mutating! View attachment 1686571 Ni jambo la kuhuzunisha Makajamba kama wewe pale Buza hamwambiwi na Dkt Mpango mchukuwe tahadhari, yeye anawalilia Watumishi wa Uma!
Inaonekana kila ukiona chochote kinachohusu corona unakuja mbio mbio kuni quote!
Ni genye inakusumbua au ni nini?
Kwa akili yako fupi spana ziko wapi hapo?
Yaani genye si haba ninazo!
Si spanner za namna hii! Sikuachi upumue [emoji23][emoji23]
Sasa umekubali huyu jamaa ni Mwehu kwa kweli?
Kwa akili yako fupi spana ziko wapi hapo?
Hivi unajua spana kweli wewe! Au unaropoka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywa chai ya malimao na tangawizi nincompoop.
Kutoka kwenda wapi?
Hapa hutoki! [emoji28]
Ona Mwehu anavyojikaganya? Ipo/Haipo/Ni chache/??
Kutoka kwenda wapi?
UK yenyewe imelimwa ban US wacha kuwashwa na UK ni watu kama wewe[emoji1][emoji1].
Unaacha kujali afya yako eti uko busy kujali afya yangu na ya Watanzania...embu kuwa na adabu pumbaf.
UK yenyewe imelimwa ban US wacha kuwashwa na UK ni watu kama wewe[emoji1][emoji1].
Mkuu, huu mdudu ukikiangamiza hizi Streets tutakukosa sana! Unataka niwe napea nani hizi nondo? 😂Unaacha kujali afya yako eti uko busy kujali afya yangu na ya Watanzania...embu kuwa na adabu pumbaf.
sisi tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.View attachment 1687718View attachment 1687719View attachment 1687720View attachment 1687721
Rudi Tz! US waache! Wewe unachukua tahadhari? Tazama jinsi taasisi za kijamii zinajitolea kuwaelimisha kwa vile Wizara ya Afya hawawezi!