mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
hiyo ni imani ya mtu.Achukue tahadhari ya nini na Tanzania hakuna corona? Mbona ujitahadhari na ugonjwa ambayo haiko in the environment that you live in?
kama mimi naamini corona haipo ndio sababu nazurula bila barakoa wala kunawa mikono na a ananchi wengine.ila simgungi mtu na anchokiamini.