Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

Status
Not open for further replies.
Achukue tahadhari ya nini na Tanzania hakuna corona? Mbona ujitahadhari na ugonjwa ambayo haiko in the environment that you live in?
hiyo ni imani ya mtu.

kama mimi naamini corona haipo ndio sababu nazurula bila barakoa wala kunawa mikono na a ananchi wengine.ila simgungi mtu na anchokiamini.
 
Achukue tahadhari ya nini na Tanzania hakuna corona? Mbona ujitahadhari na ugonjwa ambayo haiko in the environment that you live in?
Pamoja na kwamba Tanzania hakuna ukabila wala terrorism, lakini tunaendelea kukumbushana na kuchukua taadhari kwasababu majirani wetu wanasumbuliwa na ukabila na terrorism
 
EteETk8WYAAdTG6.jpeg

"Kifua Kikuu" huvaliwa barakoa?
Si useme tu Korona, aibu ya nini? Hili ni janga la dunia nzima.
 
Kwa akili yako jiulize:
1. Kwa nini wagonjwa wa TB wanatengwa?
2. Kwa nini wahudumu wao au hata madaktari wanavaa barakoa?
3. Halafu jibu swali hili la msingi; TB inaambukizwa kwa njia gani?
Sielewi mbona unatetea upumbavu. Tangu jadi hamna siku ikatokea TB tukavalia barakoa. Mbona hii ya Tz imekuwa tu mtu kaamka na kusema vaeni barakoa...

Ikiwa hawa ndio wasomi, ipo shida.
 
Sasa kwasababu huna akili unataka watu wote wawe kama wewe?, punguja ujinga, TB inaenea vipi kama sio kwa kuvuta hewa puani, sasa iweje barakoa ishindwe kuzua TB?.

Tatizo lenu wakenya huwa hamtumii akili zenu, hadi muone nchi zingine zimefanya ndio ninyi mnaiga. Ugonjwa wowote unaoenezwa kwa kuvuta hewa unazuilika kwa kuvaa barakoa, sio Corona pekee.
 
Ningelikuwa wewe mwanzo huu uzi ningeufuta! Changa la macho hili! Mwenzako Geza Ulole alikuonya usipige sherehe mapema. Tazama vile aibu inakukula.
 
ila kusema kweli sioni tofauti yeyote kati ya wanaotumia hizo precautions na vaccination na sisi wa herd immunity! Kuna upuuzi mwingi toka media za nje! Wako wana stereotype!
 
Ningelikuwa wewe mwanzo huu uzi ningeufuta! Changa la macho hili! Mwenzako Geza Ulole alikuonya usipige sherehe mapema. Tazama vile aibu inakukula.
Tatizo ninyi wakenya uwezo wenu wa akili ni mdogo hadi mnasikitisha, ina maana bado huajifunza kutoka kwenye "first wave of Corona spread?", sasa unadhani this second wave things will be different from the first one?.

Mlikaa mkisubiria Tanzania igeuke Italy ya Africa, matokeo yake "The New York Times" imeitaja Tanzania kuwa ni nchi salama kuliko zote duniani, tumeendelea na maisha kama kawaida, hakuna watu waliokufa barabarani wala Hospitali kuzidiwa na wagonjwa, ninyi ndio mnaendelea kupoteza watu kila siku
 
That was then, when they were as ignorant as you were . Sahii madaktari wameamua kupasua mbarika. Taasisi za kiraiya na dini. Sio Mashehe tu bali hadi kanisa wanasema hali sio nzuri.
Ukipata muda soma hili jarida.
 
Attachments

Chizi wewe, first wave kulikua na kelele kila kona ya dunia, video zilienea kuonyesha watanzania wanaanguka na kufa barabarani na kuzikwa usiku, TV za Kenya zilitangaza watanzania 50 walikua wanakufa kwa siku, kilichotokea ni ninyi wakenya kumpongeza Magufuli na kumtaka Uhuru Kenyatta kufungua nchi kama Magufuli. Tanzania always leads the way.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom