Tanzania ni moja ya nchi zaidi ya 50 zilizo kwenye orodha iitwayo "RED LIST". Serikali inafanya jitihada zipi kujitoa humo?

Mkuu wamesikia.

Wizara ya Afya imetoa tamko mida hii kukataza mikusanyiko.
Huko India wanakochoma maiti kwa fujo wameruhusu mikusanyiko? Au walizuia? Nenda Kariakoo ndio utajua maana ya mikusanyiko
 
Huko India wanakochoma maiti kwa fujo wameruhusu mikusanyiko? Au walizuia? Nenda Kariakoo ndio utajua maana ya mikusanyiko
India hawakuwa na lockdown.

Halafu labda nikuulize umefika India na ukabarizi mitaa?

Maana mimi nilifanya hivyo mwishoni mwa 2017
 
Realy,but which way will poor states use to escape this unbalanced business?
 
They need to learn how to navigate through.
The Martyrs,Mwl. Nyerere,Nkrumah,Kaunda and the like tried but ended in endless economic downturns! I don't see who among the present leaders can hold on and navigate to the actual economic liberation!
 
We had one and the only one JPM rip and we didn't want him.

He had his downside but his work- willingness, guts and commitment to act is still there to be seen.

He had admirers around the world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…