lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Serikali nyingi za kiafrika ,wananchi kupiga kura ni kiinimacho.Nyerere alikuwa anapigania waafrika waliokuwa wanatawaliwa na minority (weupe).
Watu wametoka zao makwao wanakuja kwako kisha wanakuchagulia namna ya kuishi na wao wanvyotaka tuishi.
Kwasasa sisi ni nchi huru na waliopo madarakani tumewaweka sisi. Utasema waliiba kura. Ubaya hakuna wa kuthibitisha.
Yanayojulikana serikali iliyopo madarakani imepigiwa kura.
Serikali nyingi za kiafrika ,wananchi kupiga kura ni kiinimacho.
Hivi wewe ukiwa unampa kichapo na unamfanyia ushenzi mke wako ndani ya nyumba yako watu watakuacha tu kwa vile ni mkeo na nyumba ni yako?
Wewe umetekwa na kunyanyaswa wapi?Kauli hi imechukua kasi Sana. Tanzania ni nchi huru haipaswi kuingiliwa katika mambo yake hasa demokrasia.
Kauli hi imekua I kitumiwa sana na baadhi ya wanna CCM na Lumumba B7.
Nashangaa kuwa CCM hii ni tofauti na CCM ya akina Nyerere? Maana akina Nyerere walikua mstari wa mbele kuwatetea watu waliokua wakikandamizwa katika nchi zao, je akina Nyerere kumbe walikua wakiingilia Uhuru wa nchi nyingine zisijifanyie zitakavyo kwa Raia wao.
Nyerere alisaidia
Afrika Kusini
Msumbiji
Namibia
Zimbabwe
Sahara Magharibi
Alihifadhi wakimbizi waliomkimbia Mobutu. Alikua akimkaribisha Yeser Arafat n .k
Kwa hiyo Nyerere na wenzake walikua wanakosea?
Je, ni halali mkuu we nchi moja kuwatesa atakavyo baadhi ya Raia na Dunia ibaki inatazama tu?
Serikali ya sasa hovyo kabisa ni hatari kwa raia.Kauli hi imechukua kasi Sana. Tanzania ni nchi huru haipaswi kuingiliwa katika mambo yake hasa demokrasia.
Kauli hi imekua I kitumiwa sana na baadhi ya wanna CCM na Lumumba B7.
Nashangaa kuwa CCM hii ni tofauti na CCM ya akina Nyerere? Maana akina Nyerere walikua mstari wa mbele kuwatetea watu waliokua wakikandamizwa katika nchi zao, je akina Nyerere kumbe walikua wakiingilia Uhuru wa nchi nyingine zisijifanyie zitakavyo kwa Raia wao.
Nyerere alisaidia
Afrika Kusini
Msumbiji
Namibia
Zimbabwe
Sahara Magharibi
Alihifadhi wakimbizi waliomkimbia Mobutu. Alikua akimkaribisha Yeser Arafat n .k
Kwa hiyo Nyerere na wenzake walikua wanakosea?
Je, ni halali mkuu we nchi moja kuwatesa atakavyo baadhi ya Raia na Dunia ibaki inatazama tu?
Jecha vipi?Nyerere alikuwa anapigania waafrika waliokuwa wanatawaliwa na minority (weupe).
Watu wametoka zao makwao wanakuja kwako kisha wanakuchagulia namna ya kuishi na wao wanvyotaka tuishi.
Kwasasa sisi ni nchi huru na waliopo madarakani tumewaweka sisi. Utasema waliiba kura. Ubaya hakuna wa kuthibitisha.
Yanayojulikana serikali iliyopo madarakani imepigiwa kura.
Kwanza unakosea kusema serikali nyingi za Africa...serikali nyingi tu Duniani. Sio Afrika tu.Serikali nyingi za kiafrika ,wananchi kupiga kura ni kiinimacho.
Hivi wewe ukiwa unampa kichapo na unamfanyia ushenzi mke wako ndani ya nyumba yako watu watakuacha tu kwa vile ni mkeo na nyumba ni yako?
Na yanayojulikana pia ni kuwa wananchi wa Zanzibar hawakumchagua Dr Shein. Hakuna uovu usiojulikana hata kama uthibitisho usipopatikana.Nyerere alikuwa anapigania waafrika waliokuwa wanatawaliwa na minority (weupe).