Hata Shein hakujichagua? Maana ndicho ulichoandika.Na yanayojulikana pia ni kuwa wananchi wa Zanzibar hawakumchagua Dr Shein. Hakuna uovu usiojulikana hata kama uthibitisho usipopatikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulienda kumfurumsha Amin nchini kwake, Uganda haikuwa huru?Inategemea kipindi cha kina Nyerere inchi nyingi zilikuwa zinadai uhuru,
Kwasasa mataifa yote yapo huru isipokuwa Parestina.
Hujanijibu swali mzee naona unadankidanki tu Kama nyani anahama miti.Kwanza unakosea kusema serikali nyingi za Africa...serikali nyingi tu Duniani. Sio Afrika tu.
Tatizo tumewaachia watu wengine watuamulie aina ya maisha tunayotakiwa kuishi.
Ndiyo maana kwako unaona ni sahihi....hizo nchi zinazoungilia mambo yetu zina matatizo lukuki usidhani hawana.
State kutwa kupigana risasi.
Haujajibiwa swali au unataka kujibiwa unavyotaka mkuu?Hujanijibu swali mzee naona unadankidanki tu Kama nyani anahama miti.