Tanzania ni nchi huru hatupaswi kuingiliwa mambo yetu

tutaingiliwa tu kinachosubiriwa mfyatue risasi muue hata watu 10 tu, mtasema aliyeamrisha Lissu auawe ni nani. Na mtasema aliyeamrisha hao watu kumi kuuawa ni nani.
 
Inategemea kipindi cha kina Nyerere inchi nyingi zilikuwa zinadai uhuru,
Kwasasa mataifa yote yapo huru isipokuwa Parestina.
Tulienda kumfurumsha Amin nchini kwake, Uganda haikuwa huru?

Tulienda Comoro, tukamwondoa Rais aliyeingia kwa nguvu, tukayweka na majeshi yetu kule, Comoro ilikuwa Tanzania?

Baada ya ule upumb.avu mkubwa uliotokea Rwanda wa mauaji ya kimbali, sheria za kimataifa zinaruhusu jamii ya kimataifa au nchi yoyote kuingia nchi yoyote alimradi kuingia huko kunalenga kuzuia uwezekano wa mauaji na dhuluma dhidi ya kundi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanijibu swali mzee naona unadankidanki tu Kama nyani anahama miti.
 
Na mtaingiliwa sn mpaka kushikishwa ukuta ng'ombe nyie...
Tendeni haki kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…