UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 314
- Thread starter
- #21
Viongozi Vichwa Panziiiviongozi matope..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi Vichwa Panziiiviongozi matope..
Uzalendo utakupeleka wapi kama kila fursa wanawapa watoto wa vigogo wa CCM?? Ukipata fursa piga hela, lala mbele. Endekeza uzalendo, waje kukucheza uzeeni. Uzalendo Africa??8.Viongozi mafisadi na walanguzi, wala rushwaa 🚮🚮🚮🚮
Ingawa hakuna utafti rasmi uliofanywa ila nakubaliana na wewTanzania imejaa na viongozi wafuatao....
1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine.
2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani.
3. Viongozi ambao wana ufinyu wa kufikiria, wapo shallow sana kwenye suala la kufikilia juu ya mambo ya msingi na yenye faida na hasara kwa taifa letu.
4. Viongozi wafuata upepo, leo watakuchekea, kukufurahia na hata kukuvisha kila aina ya sifa lakini ukweli ni kwamba hao viongozi ni wanafiki sanaa.
5. Viongozi ambao hawajali wala kusikiliza maoni ya wananchi na hata wakiyasikiliza kuyafanyia kazi ni suala la kusubiri sana na pengine lisifanyiwe kazi kabsaa.
6. Viongozi ambao hawajui dhamana ya uongozi, leo wizara ya Nishati inakua na mtu hata hajui kazi zake, majukumu yake , lengo la wizara,nk
7. Viongozi ambao wapo kwa maslahi binafsi, idadi kubwa ya viongozi wetu ni wapo sehemu husika serikalini kwa lengo la kupata maslahi Binafsii tu na Sio vinginevyoo.
8.Viongozi mafisadi na walanguzi, wala rushwaa [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Next time, nyiee viongozi mtakuja kupata kiongozi wa kweli haya maisha yatakuwa magumu kwenu[emoji3578][emoji3578][emoji3578]View attachment 2711484
Kuna vitu haviitaji deeply research, you can observe through Observation, looking, action nkIngawa hakuna utafti rasmi uliofanywa ila nakubaliana na wew