Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

Nchi hii inahitaji kuanza upya kabisa, kuanzia kurudisha Tanganyika yenye katiba yake. Huu muungano wa kienyeji unapaswa kuvunjwa na Zanzibar ikajipange kivyake.
Viongozi wanapaswa kuwa vijana kama yule mwamba wa Burkina Faso ...Traoré! wenye mawazo ya kimapinduzi sio hawa wa rika langu ambao kwa kweli hawana jipya! ... Huwezi kuendesha nchi kwa mtindo wa elimu ya darasa la saba.

Na vijana mjipange kuchukua uongozi wa nchi, jipeni malengo makubwa kuwezesha nchi hii kuwa Super power na sio kuwa nchi tegemezi aina ya saga la DPW.
Aina ya watu wenye mizaha ya kisanii wanaokumbatia uchawa na ukupe aidha wazee waliojichokea,wasipewe nafasi ya kulipeleka taifa hili kwenye utegemezi kwa kila kitu.
 
8.Viongozi mafisadi na walanguzi, wala rushwaa 🚮🚮🚮🚮
Uzalendo utakupeleka wapi kama kila fursa wanawapa watoto wa vigogo wa CCM?? Ukipata fursa piga hela, lala mbele. Endekeza uzalendo, waje kukucheza uzeeni. Uzalendo Africa??
 
Ingawa hakuna utafti rasmi uliofanywa ila nakubaliana na wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…