Tanzania Ni nchi maskini viongozi baneni matumizi

Tanzania Ni nchi maskini viongozi baneni matumizi

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Tanzania Ni miongoni mwa nchi maskini huku wananchi wakiishi chini ya Dolla 1 huku kipato Cha wastani kikiwa hakizidi Dola 2.5 kwa siku. Nimuhimu kubana matumizi
 
Nachukia sana kusikia Tz ni maskini na sio kweli hata kdg.
Umaskini wetu unatokana na viongozi wetu (CCM)
 
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri asilia mkubwa sana. Hebu jiulize gesi ya Mtwala ni nyingi ya kuvuna miaka na miaka na tuliaminishwa ikianza kuvunwa nchi itakuwa mbali sana kimaendeleo. Unajua mpaka leo gesi yote inaenda wapi kimya kimya?

Kuna hii kubwa kuliko zote tuna bandari. Hata tungeachana na magesi na madini yaendelee kuzaliana huko chini ksbb sisi bado hatuna wazarendo sio wataalam. Tungekomaa na bandari tu kuanzia uboreshaji usimamiaji kila kitu serikali isimamie kwa makini umasikini Tanzania ulikuwa kwa kheri.
Tatizo kubwa mpaka sasa ni CCM
 
Back
Top Bottom