Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri asilia mkubwa sana. Hebu jiulize gesi ya Mtwala ni nyingi ya kuvuna miaka na miaka na tuliaminishwa ikianza kuvunwa nchi itakuwa mbali sana kimaendeleo. Unajua mpaka leo gesi yote inaenda wapi kimya kimya?
Kuna hii kubwa kuliko zote tuna bandari. Hata tungeachana na magesi na madini yaendelee kuzaliana huko chini ksbb sisi bado hatuna wazarendo sio wataalam. Tungekomaa na bandari tu kuanzia uboreshaji usimamiaji kila kitu serikali isimamie kwa makini umasikini Tanzania ulikuwa kwa kheri.
Tatizo kubwa mpaka sasa ni CCM