Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.