Tanzania ni nchi muhimu strategically

Tanzania ni nchi muhimu strategically

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.

2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.

3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.

4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.

5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.

6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.

7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.

8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.

9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.

10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
 
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa hilo. Pia Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.

Nzuri
Siti ya mbele
 
Umesahau pia Tanzani ni lango la nchi nane za kusini mwa jangwa la Sahara.
 
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa hilo. Pia Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.

Kwani mto Nile unaanzia wapi! Kwenye ziwa Viktoria? Kipi hupeleka maji kwa mwenzake, ziwa hupeleka maji kwenye mto au mto hupeleka maji kwenye ziwa? Fafanua hoja yako ya mto Nile ili nasi wa elimu ya kayumba tuelewe.
Kumbe Tanzania ina misitu mikubwa kuliko Kongo!
 
Umetoa point nzuri, lakini bado hydrology yako ya Lake Victoria basin, na the source of the White Nile haiko vizuri. So my point is still very valid. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania.
 
Umetoa point nzuri, lakini bado hydrology yako ya Lake Victoria basin, na the source of the White Nile haiko vizuri. So my point is still very valid.
Acha kuchanganya lugha ili uonekane unajua, fafanua nilichotaka ufafanuzi.
 
Umuhimu wa Tanzania strategically:

1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa hilo. Pia Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.

2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.

3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.

4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.

5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.

6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.

7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.

8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.

9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.

10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Waislamu wapo asilimia hizo napinga leo Kesho maana hakuna sensa iliyofanyika hizo ni data za kupika kutoka CIA nawashirika wake wengine, mimi nina kitabu kinachoonyesha asilimia za dini katika nchi duniani Tz imewekwa inawaislamu zaidi ya 50% tena hicho kitabu hakijaandikwa na Muislamu nikiseach niitaweka screenshots hapa.
 
Hizi takwimu za dini umezitoa wapi!?..sensa zilizokua na kipengele Cha dini ni mbili tu,ya 1958 ambayo ilionesha waislam ni 66% na ya mwaka 1968 ambayo ilionesha waislam ni 30%,hii ya mwaka 1968 tulipoipeleka UN tikaulizwa ikiwa Kuna janga liwe na mafuriko,moto au ugonjwa ambao umewakumba waislam pekee Hadi kupungua hivyo!?..tukashushuka kwa haya na ajenda zetu za kijinga,ndipo tulipofuta kipengele Cha dini kwenye sensa,kalenda za ofisi ya Waziri mkuu kipindi Cha pinda kikatoa takwimu zako hizo,sheikh ponda akaja juu kuhoji sensa hiyo ilifanyika lini,ilipofika sensa 2012 ponda na wenzie walishinikiza kiwekwe kipengele Cha dini kwenye sensa au waislam wasishiriki,Cha ajabu mwadhama kadinali pengo alikua msitari wa mbele kupinga serikali kuweka hicho kipengele
 
Naona mnajipa umuhimu msiokuwa nao, ukitoka nje kidogo tuu ndio utajua hakuna mtu anaijua Tanzania, ila ukisema Kenya 90% wanaijua
Kenya riadha imewatangaza,na my Kilimanjaro kuutangaza Kama wao kwa miaka,wimbo wa malaika wakadai wao,kasuku siye tulikua tumejituliza kwetu tu
 
Waislamu wapo asilimia hizo napinga leo Kesho maana hakuna sensa iliyofanyika hizo ni data za kupika kutoka CIA nawashirika wake wengine, mimi nina kitabu kinachoonyesha asilimia za dini katika nchi duniani Tz imewekwa inawaislamu zaidi ya 50% tena hicho kitabu hakijaandikwa na Muislamu nikiseach niitaweka screenshots hapa.
Hili mrema alilisema 1995 kwenye uchaguzi,kwamba waislam wapo zaidi ya 55%,mtei akisema lipumba akitumia uislam wake atashinda urais...ndiyo maana iliundwa bakwata,imagine chombo Kama bakwata kingekua chini ya ponda,kundecha and company...yaani waislam wangekua wamoja na sauti moja yenye mamlaka,miaka ya 90 bakwata wakifanya mkutano/uchaguzi,bajeti iliyumba,kanisa likapiga jeki
 
Back
Top Bottom