Mbatia ni mfano wa uzalendo. Ukikaa kuhogwa watachukuwa kila kitu ulichonacho!!!. Tanzania ni pagumu kwa watu wazalendo kama Mbatia na Lissu.
Lakini machawa kwa upande mwingine na wala rushwa au kwa wale waliokuwali kuhogwa kama Chaumma ndiyo wanapewa pesa. Tushukuru tuna wazalendo wachache bado
View: https://youtu.be/aRlSpEOlRBU?si=6I9nYyADiIbgs58J