Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

Ah wapi!...jirani yangu ana mjengi mzuri mbele kaweka mifrem imekosa wateja mijana tu...eish!mie ntaweka maua had njia izibe !
Ndio maana nikasema inategemea na sehemu mzunguko wa biashara na watu upoje sio kila eneo la kutoboa frame, kuna maeneo wazee wanatamani wapangishe hadi sebule 😆 ( wanakwambia kodi tamu sijui walikua wapi wasitengeneze hizo frame hapo zamani hayo ni madai yao na wanajuta kuchelewa)
 
Hii kitu hta mi huwa najiuliza! Sipati jibu

Unakuta nyumba Kali kinoma halafu mifrem imeiziba

Mie mbele eneo lililobak unaweza weka frem hata 8! Lakini kila mtu akija anakuambia weka frem🤣nawaambia za nn huku jaman..kumepoa unamwekea nan frem..mwingine anakuambia toa maua ww lima mahindi🤣🤣!cha!...
 
zikiwa nyingi ndio vizuri na bei inapungua mkuu. halafu zinapendezesha mji
tatizo hawapunguzi Bei,wako radhi frame ikae miaka kumi bila mpangaji kuliko kuamua kushusha Bei na kupata mteja,
Mleta maada anamaanisha hivyo kwamba Hawa watu hawafuati principle za biashara,Demand,Supply,Price
 
manengelo,
Mtu anajenga nyumba ya kisasa mbele anaweka mifremu!haiji tokea kbs kwangu.

au ikipangwa mpangaji anafuga kuku au kiwanda cha juice ya miwa.......
Nikupigana vikumbo na nzi tuuu...

Half jf kuna mda quote zinagoma,

Hahhaahha!na ninavyopenda nymba mm jamani!khaa!sijaweka kitu mbele mm aisee! Nyumba yako panda miti na maua bas!
 
Mie mbele eneo lililobak unaweza weka frem hata 8! Lakini kila mtu akija anakuambia weka frem[emoji1787]nawaambia za nn huku jaman..kumepoa unamwekea nan frem..mwingine anakuambia toa maua ww lima mahindi[emoji1787][emoji1787]!cha!...
Binafsi sitaki kusikia maua, yaani naona ni upotevu wa rasilimali maji. Kila siku umwagilia tu kisa muonekano, aah wapi. Naweka maua kwenye yale makopo Yao, nikinunua kadhaa yanatosha, the rest napanda mboga(maka maua vile), hapa hoho, pale mchaichai, pale spinach, I like it.
 
Yes ni gharama sana kutunza! Mie napenda sana maua yaan niende mjini nisipite kununua ua hapana siwez...na mwenzangu ashacope naye anapenda...michaichai mie nimenpanda nyumaa na matunda...ila mbele utapapendaaa😋😋!

so shemasi mbele unapanda chinese mchicha ?wapare bwana
 
Yes ni gharama sana kutunza! Mie napenda sana maua yaan niende mjini nisipite kununua ua hapana siwez...na mwenzangu ashacope naye anapenda...michaichai mie nimenpanda nyumaa na matunda...ila mbele utapapendaaa[emoji39][emoji39]!

so shemasi mbele unapanda chinese mchicha ?wapare bwana

Hahaha, wapare sio washamba lakini. Sio mbele per se ilà alongside ukuta wa fensi kuna varieties mumy. Kuna nyumba ukipita unaona msitu wa maua, I don't like it. Maua kiasi tu ya kupendezesha nyumba, na my other half yupo kama mimi[emoji123]
 
Binafsi napenda nyumba iwe clear uwanja mpana, habari ya mauwa sijui kupanda mazao uwanjani tupa kule... fremu tafuta sehemu husika jenga hata mia habari ya nani atazitumia ni mbele kwa mbele as long as si kila mmoja ana elimu ya ujasiriamali usitubabaishe na utafiti wako huo
 
Binafsi sitaki kusikia maua, yaani naona ni upotevu wa rasilimali maji. Kila siku umwagilia tu kisa muonekano, aah wapi. Naweka maua kwenye yale makopo Yao, nikinunua kadhaa yanatosha, the rest napanda mboga(maka maua vile), hapa hoho, pale mchaichai, pale spinach, I like it.
Hapo umeharibu kusema unapanda mazao... sasa nyumba inageuka bustani tena au shamba aisee. Nyumba ijaze miti ya kudumu around it basi!

Kama eneo lako ni kubwa weka au tenga sehemu maalum kwajili ya shamba /bustani kinyume na hapo achana na mambo ya kuweka misitu ya mazao nyumbani
 
Nimekuwa mshamba kama jamaa zangu wanaosemwa sana hapa[emoji39]
 
Back
Top Bottom